Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu umefika mbali sana huko ....... kama ni Dada yangu sitazungumza nae mpaka kufa kwake au kufa kwangu i hate thisMkuu hao wela wela acha tuu, kama ni dada yako sijui unafanyaje!!
Mbona sijauona huo uchi anaouelezea mleta hoja? naona wanaocheza wamevaa vizuri tu. Picha anazoonyesha ni very cool.
Mkuu Nenda kule (Mambo ya kikubwa) Utawaona au bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/55701-ufuska-haya-ndio-maendeleo-yetu-sisi-wabongo.htmlMbona sijauona huo uchi anaouelezea mleta hoja? naona wanaocheza wamevaa vizuri tu. Picha anazoonyesha ni very cool.
Akina dada wawatu wastaarabu kabisa, au jamaa ana ugomvi nao nini? mbona nguo fresh tu?.......Hata mie sioni waliopo uchi hapo, naona kila mtu amevaa nguo tena za heshima wala sioni kimini au kitop kwa hao watu.
Akina dada wawatu wastaarabu kabisa, au jamaa ana ugomvi nao nini? mbona nguo fresh tu?