Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

pix.gif

Wanawake wanaojihusisha na kazi ya kucheza uchi kutoka kundi maarufu la Welawela lenye makazi yake Mwananyamala jijini Dar es Salaam (wenye fulana nyeupe na kofia) wakipewa maelekezo na mtangazaji wa kituo cha Luninga na Redio cha East Africa, Maimartha Jesse kabla ya kucheza katika onesho la taarabu lililofanyika ndani ya Hoteli ya Travertine jana.

KUKATWA MGUU SIYO MWISHO WA KUSAKATA MSONDO!

Shabiki huyu wa Msondo Music Band licha ya kukatwa mguu mmoja lakini usiku wa kuamkia leo alinaswa na kamera yetu ndani ya ukumbi wa Africentre akiyarudi mangoma kama hana akili nzuri.

Mkuu hao wela wela acha tuu, kama ni dada yako sijui unafanyaje!!
 
huo wake mie hainipi shida nitalet y= x
Conquest
 
Mbona sijauona huo uchi anaouelezea mleta hoja? naona wanaocheza wamevaa vizuri tu. Picha anazoonyesha ni very cool.
 
Mbona sijauona huo uchi anaouelezea mleta hoja? naona wanaocheza wamevaa vizuri tu. Picha anazoonyesha ni very cool.

.......Hata mie sioni waliopo uchi hapo, naona kila mtu amevaa nguo tena za heshima wala sioni kimini au kitop kwa hao watu.
 
point au ajui mavazi ya sehemu kama hizo na kawaida wacheza shoo hao mbona wapo poa ujaona wa bendi fulani nini kakak hao noma utamu nje nje
Conquest
 
.......Hata mie sioni waliopo uchi hapo, naona kila mtu amevaa nguo tena za heshima wala sioni kimini au kitop kwa hao watu.
Akina dada wawatu wastaarabu kabisa, au jamaa ana ugomvi nao nini? mbona nguo fresh tu?
 
Show zao zinapigwa wapi nikaoshe macho??
Napenda sana mambo ya kusasambua...
Fulll burudani.
 
Akina dada wawatu wastaarabu kabisa, au jamaa ana ugomvi nao nini? mbona nguo fresh tu?

Hapo bado hawajaanza kazi ndo maana wanaonekana smart.
Lakini sebene likianza, hutoamini kama ni hao unao waona hapo.
 
Yap wanacheza uchi hao, kwenye shoo zao ikifika saa saba au nane usiku wanasaula ni nooooooooooooma wakuu
 
Tuambie show zao zinaonyeshwa wapi?. Tusiwaseme kumbe hawafanyi hayo mambo.
 
Back
Top Bottom