Kundi la wake za watu (wanawake) linaloongoza kutoka nje ya ndoa (kufanya ngono)

Kundi la wake za watu (wanawake) linaloongoza kutoka nje ya ndoa (kufanya ngono)

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
44
Kwa kutumia data za mashirika mbalimbali yanayofanya utafiti kuhusu maambukizi ya magonjwa yanayotokana na zinaa kama Ukimwi, kaswende, kisonono na mengine (assumption: kundi lililoathirika zaidi ndio linalofanya zaidi ngono au kuasi zaidi mahusiano), kwa kujionea mwenyewe, kutokana na vilio na malalamiko ya waliotendwa na pia kwa kutumia maoni ya makundi mbalimbali ya kijamii; nimegundua kwamba makundi yafuatayo ya wanawake ndiyo yanayoongoza kutoka nje ndoa au kufanya ngono:

0. Wanawake ambao waume zao wanafanya kazi TRA, hasa wakurugenzi na maafisa wengine wa ngazi za juu (Reasons: wanawake walionao kutowapenda kwa sababu waliwaoa kwa kutmia pesa na kazi zao kama kivutio, kutokuwa na muda na wake zao kwa sababu ya kuwa busy kutokana na kazi au kutokana na uroho wao wa kutafuta pesa hata kwa njia isiyo halali kama rushwa au kubadilisha nyaraka mbalimabli ili kuiba, safari za kikazi ambazo zinawapa wanawake zao nafasi za kuasi, vitambi vinavyowafanya kushindwa kuwaridhisha wake zao, kuwa na mahusiano mengi na wanawake wengine - hasa wanafunzi wa chuo, kuwapa wanawake zao vitendea kazi kama vile magari yanayowawezesha kwenda sehemu kwa haraka na kutimiza azma zao, house boys etc.,. Wanawake wa kundi hili ni hatari zaidi kama wako idle - yaani hawajaajiriwa wala kujiajiri, wasiojiamini na ambao husikiliza maoni ya kila mtu - ingawa hili ni kwa wanawake wengi kwa ujumla).

1. Wakurugenzi wa serikali, makampuni (kama vile banks) na Taasisi mbalimbali (Sababu zilezile kama za wanawake wa wafanyakazi wengi wa TRA).

2. Wabunge (Sababu zilezile kama za wanawake wa wafanyakazi wa TRA na wakurugenzi, isipokuwa wao badala ya kutumia muda mwingi kuiba tu, hutumia muda mwingi mbali na wake zao kutafuta umaarufu wa kisiasa, sifa na kufanya mambo ya kujipendekeza kwa wakubwa zao. Wanawake wa wabunge hawa hutumia "golden chance" kutimiza azma zao hasa pale wanapokuwa na uhakika waume zao wapo bungeni (kupitia TV) hata kama hawachangii na ni mbali na nyumbani. Hawa pia hawawaridhishi wake zao kutokana na stress za siasa na uchaguzi, hasa wakati wa kampeni).

3. Wafanyakazi wa BOT (Sababu zilezile kama za wafanyakazi wa TRA na Wakurugenzi).

4. Mawaziri (Sababu hazitofautiani sana na za makundi 0 - 3 hapo juu).

Point to note: Wanawake wa makundi hayo hapo juu, huwacontrol mahawara zao, huwaonya (mfano: ole wako ifahamike mie natembea na wewe utanitambua!)-wengi ni vijana. Mara nyingi wanawapa hela. Kundi la wanaume wenye hawa wake pia ndio linaloongoza kulea watoto ambao sio wao.

5. Bank tellers (hasa wake zao wanapokuwa na uhakika kwamba they are busy serving customers, pia wakati mwingine wanakuwa wamewaoa wake zao kwa kuwapiga fix kuwa mambo yao ni safi - si unajua kufanya kazi bank! Kwa hiyo mara wanaposhtuka mambo ndivyo sivyo hukosa motivation na waume zao. NB: wake ambao ni bank tellers pia ni wabaya hasa wanapopata safari za kikazi kama vile seminas, training, workshops - kufanyiana timing hasa na mabosi zao ni kawaida).

6. Manesi (hawa mara nyingi ni kama vile wanabakwa na mabosi zao, halafu inageuka kuwa mazoea, sababu hasa ni nature ya kazi zao. NB: Cha ajabu manesi au madaktari hata siku moja hawalalamiki kuibiana wake au waume, wanaamini hayo ni mahitaji ya msingi ya binadamu!).

7. Wanawake walioenda masomoni mbali na kuwaacha waume zao nchini au wanawake ambao waume zao wapo masomoni ng'ambo (Sababu wana uhakika kufumaniwa ni kazi ngumu, hawa, ingawa inategemea na mtu huwa wanajiachia haswaaaa!).

8. Walinzi wa usiku (Mnajua sababu, ingawa wake zao huwa na hofu kwamba huenda wakafanya timing kwa kurudi ghafla nyumbani!).

9. Mapolisi (Sababu kubwa ni asili ya kazi zao na nature ya makazi).

10. Wanawake wa watu wowote wanaosafiri na makundi namba 4 - 0 hapo juu (Sababu ni kujipendekeza kwa vigogo, na kukosa muda na waume zao au kurubuniwa safari au kuhongwa hela. NB: kuna makundi ya wanawake wa namna hiyo ambao huambatana na vigogo na kazi yao maalumu ni kuwagawia vyapuchi - gfsonwin).

11. Wanawake tasa au ambao wamechelewa kuzaa (Sababu ni imani kuwa waume zao huenda wana matatizo, kwa hiyo wanatafuta wanaume wengine kutest).

Makundi yafuatayo haijalishi kama ni mke wa mtu au lah!

11. Wanafunzi wa vyuo hasa wanaosoma masomo yanayohusu ustawi wa jamii, Finance, BA, Sociology, Law, COM, PFA (Sababu ni tamaa ya fedha/utajiri/mali, kupenda makuu, au sifa/fahari kwamba wanatembea na watu wenye hadhi kubwa, vyeo au utajiri).

12. Wanafunzi wa kike waliosoma seminari za kike tu hasa kuanzia kindergarten - A level na wamekuwa wakilindwa sana na wazazi wao nyumbani, pindi wapatapo nafasi za kwenda vyuoni (Sababu kubwa ni ule uhuru wanaopata mara wanapojiunga na vyuo).

13. Wanafunzi wa sekondari wa kike wanaopenda biolojia hasa kama wanafundiswa na mwalimu mwanaume, akiwa na utani ndio balaa (Sababu kubwa wanakuwa sexually motivated/aroused, halafu wanakuwa curious kujaribu).

Hitimisho

Kuna makundi kadhaa ya wanawake ambayo yana uwezekano mkubwa wa kutulia, lakini linaloongoza kwa utulivu ni la wanawake waalimu (Sababu kubwa ni haiba, mafunzo yao ambayo yanawafundisha kuwa kioo katika jamii. Pia kuwa busy huwasaidia sana kutokuwaza au kupata muda wa kuasi. Vilevile kuogopa scandal - maana scandal ya mwalimu kutoka nje ya ndoa au kufanya ngono huwa inadakwa hadi na wanafunzi, soni yake sio mchezo!).

Mkoa unaoongoza kwa majanga ya wanawake kuasi ndoa au kufanya ngono ni Darisalama.
 
Last edited by a moderator:
You are the one who actually got bursted lol. Dont ask me what i meant hehehe.
Mzima lakini? Nataka kutoka nje ya ndoa leo (niende groceries shopping paw alale kutwa)
sijaelewa kwa nini umemtaja dada yetu gfsonwin. Mtake radhi.... unless mimi ndo sijaelewa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
You are the one who actually got bursted lol. Dont ask me what i meant hehehe.
Mzima lakini? Nataka kutoka nje ya ndoa leo (niende groceries shopping paw alale kutwa)
oh yeah? its posibo. Mie mzima bwana. Jitokee mwaya abaki macho juu
 
Hivi mada za hivi huwa zinalenga nini make nyinyi kutwa na wake za watu na kibaya zaidi ukute wanaozileta hata wa kuoa bado hana achilia mbali kuoa kwenyewe na zaisi ya yote mkitajiwa mahari tu nduki kesho hamuonekani

Na kwa mfano wanawake wakijitokeza wakasema ni kweli wanaongoza wewe una nini cha kuwafanya???

eheee!!wanawake wanawake,wanawake wanawake wamekukosea nini na wakati mshaambiwa muishi nao kwa akiri??
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! But that is about everybody else!!!!!!!!!!!

Come to think of it Fidelity is a MISERY!!!!!!! Its against nature for sure!!!!!! It can not be attained scientifically on following grounds

1. The heart's taste is always changing! Kipya hakinyemi ingawa ni kidonda
2. The law of diminishing marginal utility! The more u consume a woman/man the less you love them
3.Its not strange to long and have feelings for 3 different men/women at the same time though u have 1 heart.
4.As perceptions and ideologies change so do your heart feelings.
5.People always have a way not to meet your expectations and constantly disappoint you!
6.NOTHING IS NEVER ENOUGH!!!!!!!!!

Thats why we shouldnt bother! Either way life FU.CKS us!!!!!!!!!!!!!! *YAWNS!!!!! AND RESUMES TO ENJOY MY VODKA*
 
Since the facts cant be changed it does not necessarily mean the truth should not be spoken once in a while!!!!!!!!!!!

The list you could do is provide your grounds that his accusations are FALSE!!!!!!!!!! And he should stop CHEATING before the masses!!!!!!!
 
Least.......
 
Least.......

Doesnt matter!!!!!!!!!!! LIFE FU.CKS US ANYWAYS EVEN IF WE SWALLOW THE LONGMAN, OXFORD, ET AL DICTIONARIES AT ONCE AND KNEW ALL THE SPELLINGS!!!!!!!!! *YAWNS!!!!!! AND GOES BACK TO ENJOY MY VODKA!*
 
Since the facts cant be changed it does not necessarily mean the truth should not be spoken once in a while!!!!!!!!!!!

The list you could do is provide your grounds that his accusations are FALSE!!!!!!!!!! And he should stop CHEATING before the masses!!!!!!!

Lara1 ur strong in lg congrat
 
Hivi mada za hivi huwa zinalenga nini make nyinyi kutwa na wake za watu na kibaya zaidi ukute wanaozileta hata wa kuoa bado hana achilia mbali kuoa kwenyewe na zaisi ya yote mkitajiwa mahari tu nduki kesho hamuonekani

Na kwa mfano wanawake wakijitokeza wakasema ni kweli wanaongoza wewe una nini cha kuwafanya???

eheee!!wanawake wanawake,wanawake wanawake wamekukosea nini na wakati mshaambiwa muishi nao kwa akiri??

Mkuu mie nafanya "conscientization" tu ili wahusika wachukue hatua. Imekuhusu nini mkuu?
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! But that is about everybody else!!!!!!!!!!!

Come to think of it Fidelity is a MISERY!!!!!!! Its against nature for sure!!!!!! It can not be attained scientifically on following grounds

1. The heart's taste is always changing! Kipya hakinyemi ingawa ni kidonda
2. The law of diminishing marginal utility! The more u consume a woman/man the less you love them
3.Its not strange to long and have feelings for 3 different men/women at the same time though u have 1 heart.
4.As perceptions and ideologies change so do your heart feelings.
5.People always have a way not to meet your expectations and constantly disappoint you!
6.NOTHING IS NEVER ENOUGH!!!!!!!!!

Thats why we shouldnt bother! Either way life FU.CKS us!!!!!!!!!!!!!! *YAWNS!!!!! AND RESUMES TO ENJOY MY VODKA*

I love you the queen of reality.
 
Hiyo no 3 lara 1 jana nilikuwa nimekaa najiuliza ivi inawezekana?kumbe manake huwa najiuliza mtu mwenye mke au mume ampendae kwa dhati awezaje sema anampenda third party.me mume wangu Dr Simplicity nimwache?
 
Last edited by a moderator:
tuoe nani sasa?? Walimu ambao wanapata muda mref wa kukaa nyumban wakat mi nko kazini hadi saa 4 usiku?? Mwalimu ambae nae atataka mwalimu mkuu asimpangie "duty" kwa miezi 5? Mwalimu ambae nae ataenda kwa afisa elimu ili asihamishwe kituo?
 
Back
Top Bottom