Kundi la wake za watu (wanawake) linaloongoza kutoka nje ya ndoa (kufanya ngono)

Kundi la wake za watu (wanawake) linaloongoza kutoka nje ya ndoa (kufanya ngono)

tuoe nani sasa?? Walimu ambao wanapata muda mref wa kukaa nyumban wakat mi nko kazini hadi saa 4 usiku?? Mwalimu ambae nae atataka mwalimu mkuu asimpangie "duty" kwa miezi 5? Mwalimu ambae nae ataenda kwa afisa elimu ili asihamishwe kituo?

Walimu, haiba, kazi na mafunzo yao yanawafanya kidogo wawe na hofu. Kuna unafuu mkubwa!
 
umeongelea sana wake za hao watu (wafanyakazi TRA, banks, maboss serikalini, MPs, mawaziri etc.), je wale wanawake ambao wenyewe ni maboss/ wafanyakazi kwenye hizo sectors, wabunge, mawaziri, banks managers, na wana waume zao nyumbani wao wapo kundi gani? wenyewe hawa-cheat?

Hao mara nyingi ni kama wanawamiliki wanaume zao. Yaani wana wanaume wa kuungaunga sana, walio wengi huwa hata hawaweki wazi kama wameolewa, wee unaona tu anazaa vitoto. Ila wapo wachache sana ndoa zao ni mfano wa kuigwa, sijui labda Mama Salma naye yumo!
 
Mhh mi hata sijui nipo kundi gani hapo...
Acha njikague
 
kucheat ni tabia tu ya mtu kuna watu wanafanya kazi na watu wao ofisi moja na bado wanacheat humo humo.

Nakubaliana na wewe mkuu, kuna wale wenye tabia exceptional za kucheat.
 
Simplicity fine you've said what you wanted to say. but i still have one question to ask does it mean only women are the victims?

je wanawake ahawa wanacheat na waume za watu ama wenyewe kwa wenyewe??
to me its a two way traffic, halafu point #10 sio kweli kabisa, siku zote hao vigogo ulowa mention wakitaka liwazo huwa hawatoki na wake za watu hasa safari za mbali na za muda mrefu.

Nionavyo mimi kwa sababu ya kukwepa majukumu yao hutoka zaid na mabinti ambao hawana vifungo.

Mkuu hapa nimeongelea wanawake kwa ujumla au wake za watu. Makundi hayo mara nyingi wanaume na wanawake ni kitu kimoja. Hujawahi kuona misafara, mfano wa ikulu, mbona umesheheni wake za watu! Yaani mwanamke naye anasafiri kikazi lakini nyuma ya pazia anafanya mambo ya ziada pia.
 
Mkuu mwekundu swala la U & M lipo mahakamani, tumeonywa tusiliongelee!
 
Last edited by a moderator:
Wanawake bana unaona jinsi wanavyokana..basi ujue umewshika pabaya!!
 
Hao mara nyingi ni kama wanawamiliki wanaume zao. Yaani wana wanaume wa kuungaunga sana, walio wengi huwa hata hawaweki wazi kama wameolewa, wee unaona tu anazaa vitoto. Ila wapo wachache sana ndoa zao ni mfano wa kuigwa, sijui labda Mama Salma naye yumo!

Mke wa mfalme hatakiwi kuhusishwa na mambo hayo!!!!
 
aisee haka ka utafiti kama vile kana ukweli ndani yake maana mimi nshababua wake za watu watatu na sababu ni hizo hizo alizozieleza mtoa uzi.

Na wa kwako kabanduliwa na wanaume wasiopungua 6!!! Mla vya wenzie na vyake vyaliwa!!!
 
Wanawake kutoka nje ya ndoa sio lazima awe kutoka makundi uliyoyataja hapo juu .Mimi nadhani Ndoa za Siku hizi zimeathirika kwa kuiga utamaduni wa nje na hali ya kipato.
 
Back
Top Bottom