Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
theboss pita pande hiiHaijalishi kiukweli wa majumbani wenyewe ni shida juzi hapa kuna baba katimua mkewe kwa kumfumania na seremala,huyu baba alimzuia mkewe kufanya kazi akamuweka ndani mbona bado ameisaliti ndoa?
Kuwa na kazi ama kutokua na kazi SI sababu ya msingi kikubwa ni tabia asili ya mtu na akili yake kichwani baaasi.
haya tushawahi kuongelea kwa namna nyingine ila tuliishiwa kutukanwa na wadada wa humu kwa maelezo zaidi pitia hapo
Viol pita pande hizi
wanaoolewa ni darasa la saba na form 4
Ingawa wa wanawake wa la saba na form four tutachapiwa ila rahisi kuwahandle,sasa Hawa wa ofisi za posta ofa za vyakula na lifti ndo hizo jioni akirudi kiburi kibao na unyumba unanyimwa
teh umenikumbusha msemo wa mkaka flan ofisini eti" wanaoolewa sikuhizi ni form four failure na std 7 tu" hawa wengine ni pasua kichwaaaaaaaa
Na ndo ukweli,hawa wa form four la saba wanajua ku-care waume zao
mmmmmhhhhhh lasaba anajua kucare kweli??? sema kwa sababu ni rahis kuwatreat na ni waoga kuliko wanaojifanya wamesoma na kujua haki zaooooo labda...
Mh walimu tena atatka aku-treat kama mwanafunzi!!!!!
Hii inaeza ikawa na ukweli kiasi flani hasa kama mwanamke akiwa hana msimamo.
Pia hii kitu inaangalia na nature ya kazi.Mfano mwalimu au nesi sio vyepesi sana kufanya hayo mamb😵weni walimu jamani .
Thanks God Nina uhakika wa salary kila mwezi nikiachilia mbali za kila siku,Nina uhakika wa kuwahi au kuchelewa nyumbani nikitaka, Nina uhakika wa ajira hata nikidoji miezi mi3 job chezea ualimu ww!!