Uchaguzi 2020 Kundi la WhatsApp lachukua sura mpya baada ya Tundu Lissu kutangazwa Mgombea Urais CHADEMA

Kesi ipi lissu alishindwa?
Kwa sasa jpm ni mgombea,Sheria hairuhusu wagombea kutoa hela
 
Huyo mzee wako labda alikuwa hafanyi kazi serikali hakuna mstaafu wa serikali asiyepata pension yake zaidi ya miezi sita baada ya kustaafu. Unless anamatatizo ya record zake za kuajialiwa.
Tena mate Chini,usiongee mbele za watu maneno hayo.uncle wangu 2017 kastaafu na alikua ticha tumpaka Leo hakalipwa.
 
Umeongea ukweli Mtupu
 
Umebadili gia angani? Mwanzo ulisema ni group la telegram ndio mko zaidi ya mia tatu
 
Ufipa ufipa ufipa toka mwaka 92 matumaini ni haya haya! Mtajifunza lini? CCM chama dune Afrika na dunia nzima, kuiangusha mtasubiri sana! Uzuri wa CCM ni kujibadili kuendana na wakati, toka enzi za kujivua gamba (mkamchukua Edo) hadi CCM mpya ya Magu! Upinzani kwa style wanayo enda nayo kuishinda CCM mtasubiri sana! Niwape siri nyingine tushaingiza jasusi membe, namuona na lisu Jana anacheka nalo, mko uchi kabisa! Mtakuja kushituka mshazeeka
 
Hebu nikumbushe kuhusubwastafu sheria ile ilisitishwa inayotumika ya miaka yote walisema mpaka 2022 ndo watapata jibu la sheria mpya sasa mfuko upi ambao umeanza na sheria mpya wakati kikokotozi ni kile kile ?
 
Kuacha kazi ni moja ya kujikwamua mana mshahara wa serikali ni mchache usio weza kuleta maendeleo ya mtu binafsi
 
Kweli Time Will tell.
Naanza kuyaona. Huu upepo wa upinzani jiwe anang'oka mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…