saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Kuna kundi ovu la watu limejitokeza likijifanya linamtetea sana Freeman Mbowe. Mbowe ni raia kama walivyo raia wengine kukamatwa kwake ni jambo la kawaida. Kwani kwa siku wanakamatwa raia wangapi kwa tuhuma mbalimbali?
Mbowe anatuhumiwa kufanya vitendo vya kigaidi, wewe unashinda na kukesha au kulala na Mbowe kila siku? Unajuaje mambo yake anayoyafanya sirini? Tuamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina vitengo mahsusi vya kiintelijensia vya kupata taarifa za siri.
Hili kundi tulikatae na kulikekemea kwa nguvu zetu zote, limekuwa likitumia ukabila, udini, ukanda na kila aina ya uongo kuhalalisha malengo yao. Sisi kaskazini tuko vizuri na serikali ya mama yetu na tunamwamini sana. Ndani ya huu muda mfupi angefanya nini?
Amepandisha vyeo watumishi wote wa umma, anaendeleza miradi yote iliyoanzishwa na JPM, Huduma zote muhimu zinaendelea km kawaida na zingine zimeboreshwa zaidi. Hili kundi ambalo kazi yake ni kukaa nyuma ya screen kuanzia asb mpk jioni nafikiri linalipwa ili litumike kutekeleza huo ugaidi wa kiongozi wao.
Hawa wanalipwa wanakula nini kuanzia asb mpk usk ni kuanzisha topic za uchochezi na kuleta chokochoko. Hawa wamepanga pa kukimbilia mambo yakiharibika maana kiongozi wao mwingine yuko nje ya nchi akiratibu ushenzi wote huu.
Sisi tutakimbilia wapi, tuwakatae, tuwasute tuwaogope kuliko Corona na magonjwa mengine hatari km UKIMWI na Ukoma.