Kundi linalomtetea Mbowe lidhibitiwe na serikali

Lidhibitiwe haraka hilo kundi na wapgwe sn na kupewa kesi ya ugaidi
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Hakuna ushahidi wewe!!! Acha KUKURUPUKA kuendeleza uzushi.
Kama ushahidi upo na umekamilika Mbowe na wenzie wafikishwe mahakamani haraka.

La waachiwe.
 
Kuna kundi ovu la watu limejitokeza likijifanya linamtetea sana Freeman Mbowe. Mbowe ni raia km walivyo raia wengine kukamatwa kwake ni jambo la kawaida. Kwani kwa siku wanakamatwa raia wangapi kwa tuhuma mbalimbali?

Mbowe anatuhumiwa kufanya vitendo vya kigaidi, wewe unashinda na kukesha au kulala na Mbowe kila siku? Unajuaje mambo yake anayoyafanya sirini? Tuamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina vitengo mahsusi vya kiintelijensia vya kupata taarifa za siri.

Hili kundi tulikatae na kulikekemea kwa nguvu zetu zote, limekuwa likitumia ukabila, udini, ukanda na kila aina ya uongo kuhalalisha malengo yao. Sisi kaskazini tuko vizuri na serikali ya mama yetu na tunamwamini sana. Ndani ya huu muda mfupi angefanya nini?

Amepandisha vyeo watumishi wote wa umma, anaendeleza miradi yote iliyoanzishwa na JPM, Huduma zote muhimu zinaendelea km kawaida na zingine zimeboreshwa zaidi. Hili kundi ambalo kazi yake ni kukaa nyuma ya screen kuanzia asb mpk jioni nafikiri linalipwa ili litumike kutekeleza huo ugaidi wa kiongozi wao.

Hawa wanalipwa wanakula nini kuanzia asb mpk usk ni kuanzisha topic za uchochezi na kuleta chokochoko. Hawa wamepanga pa kukimbilia mambo yakiharibika maana kiongozi wao mwingine yuko nje ya nchi akiratibu ushenzi wote huu.

Sisi tutakimbilia wapi, tuwakatae, tuwasute tuwaogope kuliko Corona na magonjwa mengine hatari km UKIMWI na Ukoma.
Wazir wa fedha wa Tanzania bwana mwigulu nchemba anamiliki kampuni ya kagari ( source, raiya mwema)
 
Magaidi ni wale waliompiga lissu risasi 16 halafu wanasema serikali haijui Nani waliompiga lakini Cha ajabu waziri wa serikali hiyohiyo alimpigia mkewe simu asaidie polisi waondoe CCTV kamera zilizorekodi tukio la lissu kushambuliwa. Sasa swali linakuja je mbowe na serikali Nani gaidi?
kwa nini mbowe alimkimbiza lissu Nairobi?
aliogopa ukweli kujulikana?
 
Kuna kundi ovu la watu limejitokeza likijifanya linamtetea sana Freeman Mbowe. Mbowe ni raia km walivyo raia wengine kukamatwa kwake ni jambo la kawaida. Kwani kwa siku wanakamatwa raia wangapi kwa tuhuma mbalimbali?

Mbowe anatuhumiwa kufanya vitendo vya kigaidi, wewe unashinda na kukesha au kulala na Mbowe kila siku? Unajuaje mambo yake anayoyafanya sirini? Tuamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina vitengo mahsusi vya kiintelijensia vya kupata taarifa za siri.

Hili kundi tulikatae na kulikekemea kwa nguvu zetu zote, limekuwa likitumia ukabila, udini, ukanda na kila aina ya uongo kuhalalisha malengo yao. Sisi kaskazini tuko vizuri na serikali ya mama yetu na tunamwamini sana. Ndani ya huu muda mfupi angefanya nini?

Amepandisha vyeo watumishi wote wa umma, anaendeleza miradi yote iliyoanzishwa na JPM, Huduma zote muhimu zinaendelea km kawaida na zingine zimeboreshwa zaidi. Hili kundi ambalo kazi yake ni kukaa nyuma ya screen kuanzia asb mpk jioni nafikiri linalipwa ili litumike kutekeleza huo ugaidi wa kiongozi wao.

Hawa wanalipwa wanakula nini kuanzia asb mpk usk ni kuanzisha topic za uchochezi na kuleta chokochoko. Hawa wamepanga pa kukimbilia mambo yakiharibika maana kiongozi wao mwingine yuko nje ya nchi akiratibu ushenzi wote huu.

Sisi tutakimbilia wapi, tuwakatae, tuwasute tuwaogope kuliko Corona na magonjwa mengine hatari km UKIMWI na Ukoma.
ID yako ya zamani ni ipi?
 
Kuna kundi ovu la watu limejitokeza likijifanya linamtetea sana Freeman Mbowe. Mbowe ni raia kama walivyo raia wengine kukamatwa kwake ni jambo la kawaida. Kwani kwa siku wanakamatwa raia wangapi kwa tuhuma mbalimbali?

Walio nyuma ya keyboard wanamtetea kwa hoja njoo na hoja tukubaliane na wewe hizo ulizoandika ni wajibu hazihalalishi yaliyopo.
 
Samia ni dictator jambazi wa kisiasa kama magufuli tu tutaona mwisho wake
 
Kuna kundi ovu la watu limejitokeza likijifanya linamtetea sana Freeman Mbowe. Mbowe ni raia kama walivyo raia wengine kukamatwa kwake ni jambo la kawaida. Kwani kwa siku wanakamatwa raia wangapi kwa tuhuma mbalimbali?

Mbowe anatuhumiwa kufanya vitendo vya kigaidi, wewe unashinda na kukesha au kulala na Mbowe kila siku? Unajuaje mambo yake anayoyafanya sirini? Tuamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina vitengo mahsusi vya kiintelijensia vya kupata taarifa za siri.

Hili kundi tulikatae na kulikekemea kwa nguvu zetu zote, limekuwa likitumia ukabila, udini, ukanda na kila aina ya uongo kuhalalisha malengo yao. Sisi kaskazini tuko vizuri na serikali ya mama yetu na tunamwamini sana. Ndani ya huu muda mfupi angefanya nini?

Amepandisha vyeo watumishi wote wa umma, anaendeleza miradi yote iliyoanzishwa na JPM, Huduma zote muhimu zinaendelea km kawaida na zingine zimeboreshwa zaidi. Hili kundi ambalo kazi yake ni kukaa nyuma ya screen kuanzia asb mpk jioni nafikiri linalipwa ili litumike kutekeleza huo ugaidi wa kiongozi wao.

Hawa wanalipwa wanakula nini kuanzia asb mpk usk ni kuanzisha topic za uchochezi na kuleta chokochoko. Hawa wamepanga pa kukimbilia mambo yakiharibika maana kiongozi wao mwingine yuko nje ya nchi akiratibu ushenzi wote huu.

Sisi tutakimbilia wapi, tuwakatae, tuwasute tuwaogope kuliko Corona na magonjwa mengine hatari km UKIMWI na Ukoma.

Hizi ndo akili za wana CCM. Utadhani wanaandika wakiwa mochuari!

Hivi haya majitu yalirogwa na nani?!!
 
Hao Polisi wa kwetu ambao hata upatikanaji wao, sifa mpjawaponi kuwa na ufaulu mdogo katika masomo, ndiyo unasema kuna vitengo mahsusi?
 
Back
Top Bottom