MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Baada ya simba mnyama mkali kufuzu hatua ya makundi jana kwa ushindi mwembamba tulioupata wa jumla ya magoli 4 - 1 mimi kama kiongozi wa simba naomba radhi kwa ushindi huo kiduchu ndio maana tukajadiliana tupate proper striker january ili tuwe tunafunga vya kutosha
Kwanza kwa inavyoonekana sisi kama mnyama mkali tutakuwa pot ya 3
hivyo pot ya kwanza tunamtaka WAC hawa ni mabingwa watetezi sie kama wanyamwezi tupeni mzigo mgumu
japo pot hiyo al ahly yupo ila hana utamu kwetu kashakuwa pombe ya ngomani mpaka kagere alikuwa anajipigia tu
Pot ya 2 tuwekewe Mamelody Sundown hawa wanasikiaga tu kwa mkapa hatokagi mtu hawa wanahitaji pumzi ya moto haswa
pot ya 3 mnyama mkali tishio anayekula nyama nje ndani
pot ya 4 tupeni vipers tuwafundishe watu jinsi ya kuwafunga hawa Vipers.
Najua as vita wapo hapo ila hawana mnato tena hawa tunajipigiaga tu nje ndani kama mademu wa ubanda
Kwa hiyo kundi litakuwa
Wydad Casablanca
Mamelody Sundowns
SIMBA
Vipers
ila msimamo sijui nani ataongoza ila simba tutakuwa na point 10 tutapita tu
Barbara hakikisha kundi liwe hivi tunahitaji uto wawapokee kila mgeni atakayekuja na wamuelekeze mlango wa kupita