Kunduchi: Wapimaji Ardhi wakiuka agizo la Waziri Lukuvi

Kunduchi: Wapimaji Ardhi wakiuka agizo la Waziri Lukuvi

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,729
Reaction score
3,831
Habarini wapendwa,"

Nimepita jana maeneo ya kule Kunduchi /Meko/Mtongani, kuna upimaji wa maeneo yaliyo jengwa na viwanja baada ya kurasimishwa, tatizo nililoliona kuna utapeli unafanyika.

Mhe. Lukuvi alitangaza mwaka Jana mwezi Aprili kuwa gharama za kupimiwa kiwanja ni TSH 150,000/= Sasa huku mwenyekiti wa CCM wa kata Bw. Mdoe na diwani wake ndg Urio kwa kushirikiana na mwenyekiti wa Serikali ya mtaa, wamewapandishia gharama wananchi kuwa inatakiwa walipe TSH 250,000 Kwa maelezo kwamba kiasi kinachozidi cha TSH 100,000/= kinatumika kwenye mfuko wa chama na mtaa, asiyetaka hapimiwi.

Hivi kweli ndio utaratibu mpya upo hivi wapendwa?
 
CCM rushwa ndani nje! Mpigie simu lukuvi umueleze, this is very serious!
 
Bunge likivunjwa hakuna baraza la mawaziri, subiri November ipeleke malalamiko kwa wizara husika.

Kwasasa inategemea inategemea wameamkaje.
 
Back
Top Bottom