wa baha ela
Member
- Jan 20, 2013
- 37
- 5
Sina mawazo na ningependa kuongezeka mwili kidogo, je? nitumie vyakula gani au nifanye kitu gani?..Help pliz, money isn't a problem.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.


Bibie King'asti Kataka kunenepa hakutaka ushauri asiwe mnene umesoma kichwa cha Thread yake?Dr MziziMkavu, mafuta mengi na sedentary lifestyle ni risk factor ya magonjwa mengi kama vile ilivyo unene wa kupindukia. Nadhani kufanya mazoezi kutamuongezea hamu ya kula.
Njia zinazo
weza kukusaidia kuongeza unene
[FONT=Times New
Roman]
Sijui
ni kwa nini unauliza dawa za kunenepa badala ya kuuliza njia zinazoweza
kukufanya unenepe,kumbuka madawa yana side effects zake zinazoweza kuwa
hatari pia kwa afya yako mfano kama unavyoona dawa za uzazi wa
mpango.
Pia ni vema ukajua athari za unene kabla hujaanza kutumia siyo tu kwamba
umbo lako litabadilika kabisa tofauti na ulivyo na unavyo tegemea mfano
unataka unenepe kiasi ukajikuta umenenepeana nyama zinaning`inia tu
lakini ujue unaanza kunyemelewa na magonjwa kama pressure nk.
Hata hivyo kuchagua kuwa mnene au mwembamba ni uamuzi wako
binafsi,ila ningekushauri utumie njia za kawaida kuongeza unene kuliko
madawa.Hata hivyo hatujui wembamba huo ni wa kuzaliwa nao,au unatokana
na maradhi mwilini,au msongo wa mawazo.....ukishajua chanzo ni mwanzo wa
kumaliza tatizo.
Njia
zinazo weza kukusaidia kuongeza unene
1.Kula chakula cha kutosha kila unapokula halafu chenye
mafuta mengi,chakula chenye wanga zaidi nk.
2.Usikae muda mrefu bila kula chakula,muda kabla ya
mlo mwingine usizidi masaa 4 au 3 halafu ukipata msosi kandamiza
sawasawa.
3.Achana na mazoezi hasa yale ya kukimbia.
4.Kula chakula kingi kabla ya kwenda kulala.
5.Punguza mawazo
6.Punguza kula mboga za majani na matunda badala
yake kandamiza nyama,maharage nk.
Kutimia njia za kawaida ni bora kwa sababu ukiona uzito umezidi
unaachana na njia
hizi lakini unene wa dawa wakati mwingine hata kama ukiacha kutumia
zinakuwa
zimeathiri mfumo wa asili wa utendaji kazi wa mwili huenda ukashindwa
kuzuia tena
Mkuu.@[/FONT]wa
baha ela Ukitaka kunenepa kula
kila siku Ufuta mweupe ubwie mdomoni pasipo na
kupika kwa muda wa mwezi Mmoja utanenepa ile mbaya yake jaribu kisha uje
hapa unipe
feedback.
[FONT=Times New
Roman]
[/FONT]
Ufute mweupe ndio unao nenepesha kila kitu kina utaratibu wake masnaihi, samahani mkuu nimeona hapa ulimshauri ndugu yetu ufuta mweupe ningependa kujua kwanini mweupe na kuna tofauti gani kati ya mweupe na ule wa rangi rangi?? thankx