Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwezi hawawezi kufikisha kilo 2 ...usidanganywe.Habari za majukumu wanajamvi,
Nahitaji kujua njia bora na salama za kutumia ili kuku wa nyama waweze kuwa na uzito mkubwa kuanzia kilo mbili kwa muda wa mwezi mmoja.
Natanguliza shukrani.
Asante mkuu kwa ushauri nitafanya hvy inshallahTumia chakula bora, brand kubwa na za bei kubwa sokoni
Joto stahiki siku 7 za mwanzo
Chakula masaa 24 wiki 3 za mwanzo
JItahidi wasiumwe bila sababu maana itapunguza ukuaji.
KWa mwezi 1 labda 1.8 kg
Hii inategemea na maeneo. Kwa sisi haoa Mafinga, baridi ni kali ukuaji unakuwa mdogo tofauti na maeneo yenye joto.Tumia chakula bora, brand kubwa na za bei kubwa sokoni
Joto stahiki siku 7 za mwanzo
Chakula masaa 24 wiki 3 za mwanzo
JItahidi wasiumwe bila sababu maan itapunguza ukuaji.
KWa mwezi 1 labda 1.8 kg
Technology ndo hatuna ukiwa na hiyo mbinu mambo yote safi fikilia ulaya baridi lake uwa ni -10 na bado wako vizuri maana yake wangekufa Kwa njaa kule ila waliwekeza nguvu kwenye utafiti na mambo ni mazuri sanaHii inategemea na maeneo. Kwa sisi haoa Mafinga, baridi ni kali ukuaji unakuwa mdogo tofauti na maeneo yenye joto.
mbona watu wanafuga sana na wanafika huo uzito nafikiri elimu ishuke kwa kila mkulima na wakulima wafundishikeUshauri, serikali ichukue hao wanaitwa maprofesa wa SUA wapelekwe uingereza, sio kusoma, Ila kulisha kuku kwa miezi sita, wakirudi tutafika mahali Kwenye ufugajj, vinginevyo tutaendelea kudanganyana sana
Mbona hatuwaoni kwenye mabanda ya nanenane hao kuku wa mwezi 1 wenye kilo mbili wanaofugwa na wataalamu? Nini maana ya maonyesho ya wakulimambona watu wanafuga sana na wanafika huo uzito nafikiri elimu ishuke kwa kila mkulima na wakulima wafundishike
na tatizo kubwa liko kwa baadhi ya wazalishaji wa vifaranga hasa wasio makampuni makubwa kuzalisha vifaranga vibovu,chakula kisichoa na CP ya kutosha na mambo kama hayo
Nakazia wafugaji wengi wanafuga ila kuku hawafikishi hizo kilo mbili kwa kuku wa mwez mmoja ukilinganisha na nchi zilizoendeleaMbona hatuwaoni kwenye mabanda ya nanenane hao kuku wa mwezi 1 wenye kilo mbili wanaofugwa na wataalamu? Nini maana ya maonyesho ya wakulima
Haelewi njia salamaAsante mkuu kwa kuchangia mada ila hy njia hapana kwakwel