Kunenepesha kuku wa nyama

Kunenepesha kuku wa nyama

Kuna hizi niliona maza mmoja alikuwa anawalisha kuku wake wananona kweli, alisema ni nutrients na zinawakinga na magonjwa, ngoja wataalamu waje
1000012826.jpg
 
Kuna hizi niliona maza mmoja alikuwa anawalisha kuku wake wananona kweli, alisema ni nutrients na zinawakinga na magonjwa, ngoja wataalamu
Zinauzwa maduka ya dawa za mifugo au dawa za binadamu na vipi kuhusu matumizi yake
 
Mbona hatuwaoni kwenye mabanda ya nanenane hao kuku wa mwezi 1 wenye kilo mbili wanaofugwa na wataalamu? Nini maana ya maonyesho ya wakulima
hawa wa broiler ni kawaida kufika huo uzito kwa wiki nne ndugu wacha ubishi uliza upewe majina ya kampuni bora ya vifanga pamoja na chakula pia fuata utalamu siku ya 30 tayari wanakua na uzito wa kilo2,siku ya 42 wanakua na kilo3.6
 
Kaka nahitaji mwongozo Wako maana naingiza hao viumbe hivi punde, Banda tayari pamoja na maandalizi mengine. Tusaidiane ndugu
 
Kuna aina tofauti za vifaranga wa broiler, na wanatofautiana kiwango cha kujaa nyama na uzito wa mifupa kulingana na waliobreed hao vifaranga.
 
Yaan kuku mwez mmoja unamla aahgr hapana kwakwel labda kama nimeelewa vaby
 
Back
Top Bottom