Kung'ang'ania madaraka na katiba.

Kung'ang'ania madaraka na katiba.

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
Wakuu mi nadhani kuna haja ya katiba hii mpaya tunayoitafta sasa hivi kwa hali na mali kuweka wazi suala la viongozi wa nchi kung'ang'ania madaraka.yani kwa mfano, suala la misri, jordan, tunisia na sasa libya liwe wazi katka katiba.
nafaham kwa sasa katiba inaweka wazi muda wa kikomo viongozi kwa mfano raisi kua ji vipindi viwili vya miaka mi5 mi5.lakini kwa mfano inaofikia kiongozi huyo akang'ang'ania madarakani kiasi cha watu kufikia kuandamana na bado hatoki iweje?
 
Back
Top Bottom