Kung'arisha uso ( Kuwa soft) na kuwa sopu sopu

Kung'arisha uso ( Kuwa soft) na kuwa sopu sopu

[QUOTE="Kongosho, post: 3552253,

Anyway, mafuta ya kupaka tumia bio oil ila usipake usoni kama una uso wenye mafuta kama kitumbua.

Usoni jaribu lotion za oriflame labda zitakusaidia, zinaonekana hazina gliserini.[/QUOTE]

Ahahahhaa batamu apa
 
sabuni za ukwaju, Namna hiyo hapa lazima wanaume wote washine
Sawa lakin mm bado sijajua matumizi yake yan sijui nakosea kwasababu kila nikapata usoni huwa inanichoma sna arf nikisha nawa uso unakuwa kama umebabuka iv arf ukishakauka unakuwa kama kuna mbaa sijui tangotango yani hata sielwi ebu naomba niamby jinsi ya kutumia huwa haipakwi usoni au
 
Back
Top Bottom