Kula mmbese mndu
Member
- Apr 18, 2012
- 10
- 3
Naomba msaada. Kuna madhara yoyote ya kufanya tenda la ndoa wakati wa period kwa mwanamke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
madhara yapo kiafya, hasa kwa wote wawili. Kuingiliwa au kumwingilia mwanake wakati wa kutumika kunasabaisha michubuko ambayo huwanyima raha na tena inaweza ikadevelop kuwa septic baadae. Michubuka hii hutokana na kwamba damu ya hedhi siyo lubricant ina kuwa kama ukakasi hivyo wakati wa tendo huweka ugumu na kuongeza friction. Wote wawili hupata madhara ya hii friction, ila huwa pronounced zaid kwa mwanamke kwani anapopata michubuko hii huku anatumika .vidonda vinakuwa katika hali ya ubichi bichi, kutokana na hali hiyo na joto pamoja na uchafu basi hudevelop kuwa septic.
Sasa chukulia ndo siku ya honeymoon na mara akapatwa na period ya ghafla vipi hapo mtafanyeje na kumbuka hamjawahi kufanya tendo la ndoa na mlisubiri sana kwa hamu siku hi
Sasa chukulia ndo siku ya honeymoon na mara akapatwa na period ya ghafla vipi hapo mtafanyeje na kumbuka hamjawahi kufanya tendo la ndoa na mlisubiri sana kwa hamu siku hi
mh, kama ni kweli hongera, inahitaji moyokiukweli mi huwa naenjoy sana kufanya nikiwa kwenye kekundu. hata mpz wangu pia huwa haniachii kabsaaaaa. anakula 2
Sasa chukulia ndo siku ya honeymoon na mara akapatwa na period ya ghafla vipi hapo mtafanyeje na kumbuka hamjawahi kufanya tendo la ndoa na mlisubiri sana kwa hamu siku hi
wee unatamaa ngani hata kama sio madhara hata kinyaa hauna?