Kungoneka wakati wa hedhi

Kungoneka wakati wa hedhi

Kwali hali atakayo kuwa nayo wakati wa hedhi,inategemea na mtu. Kwaukweli tu si nzuri,maana haya mambo ukumbuke hayahitaji uelewa sana tangu long time Ke akiwa ktk hedhi mnapumzika.
 
madhara yapo kiafya, hasa kwa wote wawili. kuingiliwa au kumwingilia mwanake wakati wa kutumika kunasabaisha michubuko ambayo huwanyima raha na tena inaweza ikadevelop kuwa septic baadae. michubuka hii hutokana na kwamba damu ya hedhi siyo lubricant ina kuwa kama ukakasi hivyo wakati wa tendo huweka ugumu na kuongeza friction. wote wawili hupata madhara ya hii friction, ila huwa pronounced zaid kwa mwanamke kwani anapopata michubuko hii huku anatumika .vidonda vinakuwa katika hali ya ubichi bichi, kutokana na hali hiyo na joto pamoja na uchafu basi hudevelop kuwa septic.
 
madhara yapo kiafya, hasa kwa wote wawili. Kuingiliwa au kumwingilia mwanake wakati wa kutumika kunasabaisha michubuko ambayo huwanyima raha na tena inaweza ikadevelop kuwa septic baadae. Michubuka hii hutokana na kwamba damu ya hedhi siyo lubricant ina kuwa kama ukakasi hivyo wakati wa tendo huweka ugumu na kuongeza friction. Wote wawili hupata madhara ya hii friction, ila huwa pronounced zaid kwa mwanamke kwani anapopata michubuko hii huku anatumika .vidonda vinakuwa katika hali ya ubichi bichi, kutokana na hali hiyo na joto pamoja na uchafu basi hudevelop kuwa septic.

ahsante kwa kunielewesha.
 
Sasa chukulia ndo siku ya honeymoon na mara akapatwa na period ya ghafla vipi hapo mtafanyeje na kumbuka hamjawahi kufanya tendo la ndoa na mlisubiri sana kwa hamu siku hi
 
uchafu bwana!kama ni honey moon basi tena fungasheni muondoke.
 
Sasa chukulia ndo siku ya honeymoon na mara akapatwa na period ya ghafla vipi hapo mtafanyeje na kumbuka hamjawahi kufanya tendo la ndoa na mlisubiri sana kwa hamu siku hi

Mie ilintokezea hii. Siku ya harusi akaniambia yupo katika siku zake. Basi ikabdi nistahamili.
 
Sasa chukulia ndo siku ya honeymoon na mara akapatwa na period ya ghafla vipi hapo mtafanyeje na kumbuka hamjawahi kufanya tendo la ndoa na mlisubiri sana kwa hamu siku hi

Kama mlisubiri sana kwa hamu siku zote, mnashindwa kuvumilia hizo siku chache? Mnaweza kuextend honeywmoon yenu. Kuna mambo mengi ya kuenjoy mnapokuwa honeymoon than sex..
 
kiukweli mi huwa naenjoy sana kufanya nikiwa kwenye kekundu. hata mpz wangu pia huwa haniachii kabsaaaaa. anakula 2
 
kiukweli mi huwa naenjoy sana kufanya nikiwa kwenye kekundu. hata mpz wangu pia huwa haniachii kabsaaaaa. anakula 2
mh, kama ni kweli hongera, inahitaji moyo
 
Kwa waumini wa dini ya kiislamu ni dhambi kubwa kufanya tendo la ndoa mwanamke akiwa katika hedhi au nifasi (anapojifungua). Munatakiwa kusubiri mpaka iishe.

Ndiyo mana wengine kwa 'hasira' baada ya arubaini akipata upenyo tu anajilipizia na huku kumbe anabandika nyengine.
 
ila kwa exp yangu siku za nyekundu ila ile inayokaribia kiusha demu anaenjoy sana ukimchapa nao
 
Sasa chukulia ndo siku ya honeymoon na mara akapatwa na period ya ghafla vipi hapo mtafanyeje na kumbuka hamjawahi kufanya tendo la ndoa na mlisubiri sana kwa hamu siku hi

Kuna jamaa niko nae hapa ananinong'oneza anauliza ''kwani tundu liko hilohilo tu?''
 
wee unatamaa ngani hata kama sio madhara hata kinyaa hauna?

:smile: si ndio hapo hasa wengine ambao washazoea kwenda uvinza sa sijui itakuaje hapo...jamani ngono isiwe kila siku huo ndo wakati mpumzike hata wewe mwanaume mashine yako nayo inahitaji ipumue sio kila siku na kila wakati:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom