yap kwa .com kwa wazamani watabisha
sababu
1 hakuna mwanamme anayeoa kwa sasa na akakuta demu bikra labda ya mchina na zipo kibao ukitaka niambie
2 wanaoana tayari wanajuana vyema yaan wanaenda kuhalalisha kitendo na demu tayari ana mimba
3 mihemko, vishawishi,umaskini, utandawazi vinaongeza mshawasha wa ku do be4fe marriage
4 utampendaje mtu wakati humpi mapenzi?
kwa wa long........
1.mchumba unatafutiwa na ni marufuku kumkataa
2. walikuwa wanaolewa wadogo so unakuta kitu kipo tait
3. hakuna utandawazi so vishawishi no
4. walikuwa wakifanya kazi zito ajabu MATAMANIO UTAYAPATA WAPI
mdau unaposema ni matamanio ya mwili tu! napata shida kidogo kukuamini TEST BEFORE EAT!!
angalizo.....ukiiwahisha inamadhara,ukiichelewesha inamadhara pia, be in the middle