Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka.
Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na hakupatikana ila kuna siku ndoto aliota ikimuelekeza kuhusu yeye yupo wapi ambalo eneo la mukuru na kweli wakakuta maiti ambazo mpaka sasa inaonyesha kuna maiti nyingi sana.
Msikilize:
View: https://www.youtube.com/watch?v=tOQOf9eXTUM&embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2F&source_ve_path=MjM4NTE&feature=emb_title
www.jamiiforums.com

hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani
Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe. Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo...