Kunguni wavamia matatu Nairobi

Kunguni wavamia matatu Nairobi

Muria

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
285
Reaction score
187
Magari mengi ya usafiri jijini Nairobi, Kenya, maarufu kama "matatu" yana kunguni, kwa mujibu wa gazeti la standard la nchi hiyo.

Kondakta mmoja anaripotiwa kuliambia gazeti la Standard, kuwa wadudu hao wanatishia kuharibu biashara ya kutoka na sababu kuwa watu wengi uhofia kupanda "Matatu"

Wadudu hao husambazwa na wateja kutoka kwa nyumba zao bila kujua, ambao kisha hubaki kwenye viti vya magari.

150108133832_matatu_graffiti_640x360_bbc.jpg


Sasa wahudumu wa sekta ya usafiri jijini Nairobi, wameanzisha kampeni ya kuangamiza kungunu hao kwa kunyunyiza dawa na pia kuwataka abiria kutoa habari ikiwa wataona wadudu hao.

Source: Kunguni wavamia matatu Nairobi - BBC Swahili
 
hasa maeneo ya kasarani apoo ni sheeedah...mzeee maina anaumia sana
 
poleni ndugu zangu wakenya kwa matatu senu kuwa na kunguni,mwagieni maji ya moto kwa matatu
 
"Nyie wabongo sisi ni ndio powerhouse ya east&central Africa"
 
power house ya kunguni muone aibu hili Ni jambo la fedheha. Kama kwenye matatu hali ni hii kwenye majumba watu hawalali oneni aibu muache kutafuta mijisifa ya kijinga
 
Haya magari
Wao walipyaona kama moja ya kivutio
Kumbe hovyo kabisa
Karne hii kutumia vi hiece kama usafiri wa umma ndani ya joji ni upumbavu

Full virangi kisha wanashangiria ujinga
 
Back
Top Bottom