Kunguni

Kunguni

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
ea1441fe-1ac5-4e41-af26-60f9c994d386.jpg
 
Kama umesoma Milambo high school Tabora. Tulikuwa tunawaita Tigo yaani usiku wanashuka kwenye Paa la ukuta kama mvua aisee!
Aisee! Acha watu wakipata chance waibe tu mana wametoka mbali Sana.
Kuna jamaa yeye simsahau yaani alihamia darasani kabisa mana dom hapalaliki.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hebu fikiria itokee kunguni wawe na vimelea vitakavyo sababisha ugonjwa wa mripuko kama ebola baada ya miaka 10 kuanzia sasa....
 
hebu fikiria itokee kunguni wawe na vimelea vitakavyo sababisha ugonjwa wa mripuko kama ebola baada ya miaka 10 kuanzia sasa....

Duu umefika mbali mkuu ... Mungu aeupushe hiyo
 
hao mabwege ni wapuuzi sana ukizima taa wanashuka kufanya yao ile ukiwasha tu wanatoka mbio bolt cha mtoto

Upuuzi wao mwingine ni kuvamia eneo nyeti kama si msafi wanajenga kibanda
 
Duuu! Nimekumbuka siku nilienda field huko Shinyanga, Kishapu, kijiji cha Ng'wang'alanga uwiiiiiiii. Jamani Kazi hizi acheni tu. Kwanza guest house yenyewe ni nyumba za tembe (juu imeezekwa kwa udongo), hakuna dirisha ni giza ndani, ila komesha ilikuwa ni hao wadudu KUNGUNI, mweeeee!
 
Kunguni ni zaidi ya wasiojulikana
 
Back
Top Bottom