Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa wapi mkuu mpaka ukakutana nao kwenye hizo anga zaoKunguni noma aisee niliwahi kukesha usiku kucha kisa hao wadudu
Nilikuwa katika harakati za kutafuta grisi ya kulainishia vyuma, nikajikuta nimeingia kwenye anga zao, bwana wee...ilikuwa mara yangu ya kwanza kuwaona ila walichonifanya sitaki niwaone tena!
hebu fikiria itokee kunguni wawe na vimelea vitakavyo sababisha ugonjwa wa mripuko kama ebola baada ya miaka 10 kuanzia sasa....
Nimekumbuka mbali sana yaaan wapige dawa vp ukiingia huko Mapinduzi sijui Ujamaa lazima uwapate unatoa chaga nje utalala dk 2 tu hao unaanza kusikiaPugu boys asisee kunguni walikuwa ni tabu saana, nafikiri mpaka Sasa wapo
Hahaha, unatoa chaga nje zipigwe na jua lakin , baadae utakuta vinainuka,. Hatari wale waduduNimekumbuka mbali sana yaaan wapige dawa vp ukiingia huko Mapinduzi sijui Ujamaa lazima uwapate unatoa chaga nje utalala dk 2 tu hao unaanza kusikia
Kunguni ni zaidi ya wasiojulikanaDuuu! Nimekumbuka siku nilienda field huko Shinyanga, Kishapu, kijiji cha Ng'wang'alanga uwiiiiiiii. Jamani Kazi hizi acheni tu. Kwanza guest house yenyewe ni nyumba za tembe (juu imeezekwa kwa udongo), hakuna dirisha ni giza ndani, ila komesha ilikuwa ni hao wadudu KUNGUNI, mweeeee!