Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,843 Reaction score 10,321 Sep 7, 2018 #21 K Sapta Sapta said: Kunguni ni zaidi ya wasiojulikana Click to expand... Kunguni hawafai nilishawahi kulala nje ugenini kisa hawa wadudu
K Sapta Sapta said: Kunguni ni zaidi ya wasiojulikana Click to expand... Kunguni hawafai nilishawahi kulala nje ugenini kisa hawa wadudu
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Sep 8, 2018 #22 zipompa said: hao mabwege ni wapuuzi sana ukizima taa wanashuka kufanya yao ile ukiwasha tu wanatoka mbio bolt cha mtoto Upuuzi wao mwingine ni kuvamia eneo nyeti kama si msafi wanajenga kibanda Click to expand... Unayo bahati hukukumbana na wasio ogopa taa wala nini, wanakushukia tu mazima mazima. Huu uzi umenikumbusha mbali.
zipompa said: hao mabwege ni wapuuzi sana ukizima taa wanashuka kufanya yao ile ukiwasha tu wanatoka mbio bolt cha mtoto Upuuzi wao mwingine ni kuvamia eneo nyeti kama si msafi wanajenga kibanda Click to expand... Unayo bahati hukukumbana na wasio ogopa taa wala nini, wanakushukia tu mazima mazima. Huu uzi umenikumbusha mbali.