Kunguni

Kunguni

hao mabwege ni wapuuzi sana ukizima taa wanashuka kufanya yao ile ukiwasha tu wanatoka mbio bolt cha mtoto

Upuuzi wao mwingine ni kuvamia eneo nyeti kama si msafi wanajenga kibanda

Unayo bahati hukukumbana na wasio ogopa taa wala nini, wanakushukia tu mazima mazima.
Huu uzi umenikumbusha mbali.
 
Back
Top Bottom