Kunguru wanaruka usiku huu saa 9:15, ni kawaida?

Kunguru wanaruka usiku huu saa 9:15, ni kawaida?

Kawaida sana tena kama kuna mti karibu hapo wanapolala

Huwa wanakuja kunyea kwenye madishi yangu hapa nyumbani wapumbavu sana. Wanapend dish la dstv na waya wa umeme unaongia kwenye main switch. Sasa wamekuwa ni majirani

Yan kuanzia saa nane mpaka saa saba au nane ni kelele za kunguru tu

Ikifika saa moja mpaka sita usiku wanapotea.

Ni kawaida tho sio uchawi
 
Watanzania tulivyo na shida hata tukisikia mbwa wanabweka tutasema mchawi anapita
 
Back
Top Bottom