Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
View attachment 1329964View attachment 1329964

Binafsi nimekua mfuasi mkubwa wa mwanaharakati na mtumishi na mmiliki wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Bembeleza kutoka Arusha bi.

Irene Mbowe.Jana kwa mshtuko mkubwa nimepokea habari za kufariki ghafla kwa mumewe bw.

Sebastian Malya maarufu kama baba Neema au Ice Kyubu.Mpaka sasa familia haijatoa tamko lolote ila kupitia watu wa karibu yao wamepost kuhusu msiba huo. Pole sana dada Irene.Kila nafsi itaonja maiti.Apumzike kwa amani marehemu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • FB_IMG_15796813955007839.jpeg
    30.2 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…