Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

Ohh jmnn Poleh sana kwa kungwi laoo
Mungu akawe mfariji wao Amen
 
Mama yake ndiyo mpare, baba yake ni mchagga wa machame, kwahivyo yeye ni mchagga. Halafu kuhusu mkorogo, wala huna uhakika kama anajikoroga, isitoshe hayatuhusu na hatuhitaji kujua.

Tunachokijua ni kwamba yeye ni mshauri na mwombaji mzuri na amekuwa msaada kwa wanandoa wengi hasa wanawake vijana. tweenty4seven
 
Mmh we nawe kwani kifo kinazuilika?? Unaweza ukawa nae akakufia mikononi!
Anaeumba na kuchukua uhai ni Mungu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DocJayGroup,

Usiwe mwepesi kuhukumu.... alikuwa known hypertensive on regular medication. Alijisikia ghafla akiwa na maumivu ya kifua na kushindwa kupumua.... likely heart attack ambayo hata wewe mkeo au mumeo can’t do nothing na hapa bongo heart attack ni highway to the grave kwa huduma za hospitali zetu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuwa na ndoa iliyo na furaha na amani haimaanishi umepewa uwezo wa kuzuia mapenzi ya mwenyezi Mungu..punguzeni fikra ambazo sio nzuri kama una uwezo wa kuzuia mtu asife kakae hospital uwe mfano
 
Mmh we nawe kwani kifo kinazuilika?? Unaweza ukawa nae akakufia mikononi!
Anaeumba na kuchukua uhai ni Mungu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anayejiua kwa kunywa sumu asingekunywa angekufa? Hiyo ni imani yako kwamba kifo hakizuiliki. Lakini sio kwamba watu wote wanaamini hivyo. Tuko tofauti, na imani tofauti.

Personally, naamini kuna uzembe sometimes unafanyika na mtu anakufa. Mfano mtu anazembea kwenda hospitali kupata tiba ya malaria halafu akifariki etii Mungu amemchukua. Ni sawa tu. Endelea kuamini hivyo hivyo. Sitaku-judge ila please don't judge me either.
 
Kuwa na ndoa iliyo na furaha na amani haimaanishi umepewa uwezo wa kuzuia mapenzi ya mwenyezi Mungu..punguzeni fikra ambazo sio nzuri kama una uwezo wa kuzuia mtu asife kakae hospital uwe mfano
Watu wanapenda sana kujipa moyo eti mapenzi ya mwenyezi Mungu wakati sometimes ni uzembe.

Mtu anayejiua kwa kunywa sumu asingekunywa angekufa? Hayo nayo ni mapenzi ya mwenyezi Mungu? Hiyo ni imani yako kwamba kifo hakizuiliki. Lakini sio kwamba watu wote wanaamini hivyo. Tuko tofauti, na imani tofauti.

Personally, naamini kuna uzembe sometimes unafanyika na mtu anakufa. Mfano mtu anazembea kwenda hospitali kupata tiba ya malaria halafu akifariki etii Mungu amemchukua. Ni sawa tu. Endelea kuamini hivyo hivyo. Sitaku-judge ila please don't judge me either.
 
Likely a heart attack? Hakuna autopsy? Inatakiwa full autopsy ifanyike aisee. Hata kwa Tz is possible.
 
Also sihukumu mtu mimi. Nafikiria tu vile ningependa huduma ifanyike kama imetokea kwangu au ndugu wa karibu.
 
Pumba tupu! Kojoa ukalale...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua uko makini na kamwe hautokufa maana unajua kuzuia kifo, na wala ndugu zako maana unachukua tahadhari sana na hongera san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…