Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

Nijimazie isije ikawa na argue na katoto kangu kenye kanasubiri kuingia kidato cha tano, yaan utoto huu
Naishi katika nchi ambayo adult mortality rate ni 3 out 1000 adults. Manake katika kila watu 1000 wanaokufa ni watatu. Kwa Tanzania, mortality rate ni 229 out of 1000. Manake katika kila watu 1000 - watu 229 wanakufa. Sasa mimi na wewe ni nani ambaye ana pointi za maana kuongea katika hili? Mimi nimepata exposure abroad ambayo wewe haujapata. Na nikijaribu kuwaelimisha mnaona utoto. Bakini hivyo hivyo tu sasa. Source ya hizo data ni UN statistics.
 
Kumbe ni kisukari maskini. Kuna watu nilisikia wanasema alikuwa na maradhi mengine
 
Ni kama vile unataka kuongea jambo ambalo hauna uhakika nalo ivi,

anyway mume wake alikua na kisukari na alipokua kazini alijisikia vibaya na ghafla akaanguka na mauti ikamfikia apo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Atakua alipata keto acidosis, hii huwapata sana watu wenye kisukari na kusababisha vifo vya ghafla.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh maskini. Keroro ni nini
Mpendwa. Umeniacha njia panda
 
Usisahau Viagra na Congodust ni chanzo kikubwa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Mambo yaone kwenye mtandao tu hizi perfect couple za mitandaoni zina taabu, shida na dhiki kuliko tunavyoaminishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…