Inaonekana mwalimu wako wa kiswahili hakukusaidia kwani mtu kurudia rudia ni katika khali ya kuvuta usikivu na utulivu wa hadhira ili aweze kufikisha ujumbe wake na si kwamba jamaa hayuko makini.Ila tumeshakuzoea huwa hukosi cha kuongea mzazi siku zingine uwe unakaa kimya basi kama huna cha kusema