Kuni.........kuni.........kuni ......kuni

Kuni.........kuni.........kuni ......kuni

msikivuTz

Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
68
Reaction score
407
POLENI KWA MIHANGAIKO YA HAPA NA PALE, JAMANI MM NIPO MAFINGA IRINGA KWA SASA, NIMECHEKECHA AKILI HARAKA HARAKA NIMEGUNDUA NINAPOISHI KUNA RASIMALI NYINGI YA KUNI, OMBI LANGU KWENU NAOMBA KAMA KUNA MTU ANAWEZA NIUNGANISHA SEHEMU AIDHA TAASISI, KAMPUNI, N.K NICHUKUE TENDER YA KUWASAMBAZIA KUNI. MZIGO UPO WA KUTOSHA HATA MWAKA HUU WOTE,.... NDO KUJIAJIRI HUKO JAMANI, ILA NAOMBA HIYO SEHEMU IWE IRINGA AU MAFINGA... ASANTE, EMAIL YANGU NI wambroz2012@gm[/SIZE][/B][/SIZE][SIZE=2]ail.com
 
your not serious ndugu, kwanini usiandike KUNI mpaka uweke Maneno mengi yenye maana moja? inshort tangazo limekaa kitoto ...
 
choma mkaa mkaa ndo utakulipa zaidi.
 
Ukichoma mkaa inaweza kua njema zaidi kuliko kuuza kuni
 
your not serious ndugu, kwanini usiandike KUNI mpaka uweke Maneno mengi yenye maana moja? inshort tangazo limekaa kitoto ...

Linaeleweka hata kama limekaa kitoto, cha muhimu ni kuwa ujumbe umefika.
MsikivuTz keep it up
 
Inaonekana mwalimu wako wa kiswahili hakukusaidia kwani mtu kurudia rudia ni katika khali ya kuvuta usikivu na utulivu wa hadhira ili aweze kufikisha ujumbe wake na si kwamba jamaa hayuko makini.Ila tumeshakuzoea huwa hukosi cha kuongea mzazi siku zingine uwe unakaa kimya basi kama huna cha kusema
 
unahela za kuwahonga maliasili maana nasikia wanakomaa kichizi hata ukitoa shambani kwako.
 
Back
Top Bottom