Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
Attention seeker. Utoto ndo unakusumbua. Ukikua utaacha. Boya wewe
Poa,kwa sababu umeamua kunitusi nashukuru.
Lakini lengo langu ni kuwaomba radhi,wewe ukiwa inclusive.
Uwe na siku njema.
nakusemea haya,
sema asante bi mkubwa.
Huna lolote. Unataka umaarufu kwa kuwakera wengne halafu unakuja humu kutaka radh? Kwa nini hujafuta hyo post inayosababisha uombe radhi? Acha uboya
nakusemea haya,
sema asante bi mkubwa.
Poa,kwa sababu umeamua kunitusi nashukuru.
Lakini lengo langu ni kuwaomba radhi,wewe ukiwa inclusive.
Uwe na siku njema.
Mkuu,ningeifuta hiyo thread,ila sijaona option ya ku delete thread zaidi ya ku delete post.
Kama unajua nielekeze.
Matusi si uungwana.
Nilipe bando yangu niliyopoteza juu yako.
Siku nyingine usirudie. Kuniita mimi babu mzima mtoto ni dhambi kubwa sana.
Nimekusamehe ila nakufuatilia kwa makini ukinitusi tena nakubadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka usoni.
Mi nakasirikaga sana.
sijakutukana. Nimekwambia ukweli. Kumbe hata JF kwenyewe hupajui vizuri halafu unatukana waliokutangulia.. Umetuita watoto halafu bado unataka tukufundishe jinsi ya kufuta post? We na uzee wako ulikuwa wapi siku zote usijiunge JF? Umenikera sana ila yamekwisha. All is well