CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mkuu charminglady,naomba msamaha kuhusu bandiko langu la Utoto,lakini kuhusu ban ya cacico,si ni siku tano tu?
Kwani we charminglady,unafurahi mtu anapo vunja Jf rules kwa makusudi,kama alivyo fanya cacico?
naomba unipe link ya thread alovunja jf rules....
lugha gonganoooo
''KUNRADHI'''
Wastage of time
...msamaha umepokelewa ila umaarufu ushapata! Chit chat oyee
...msamaha umepokelewa ila umaarufu ushapata! Chit chat oyee
mimi nilishasema kuwa huyu MzunguMndali ni attention seeker. Alitaka cheap popularity.
Rekebisha mkuu,ilitakiwa iweje?
ninajua ni ''KUMRADHI''
We nae, acha kumsakama mwenzio, si ashasema amekosea? Samehe 7 mara 70 bana!mimi nilishasema kuwa huyu MzunguMndali ni attention seeker. Alitaka cheap popularity.
Hii inaitwa stressfree zoneWadau,nilianzisha jana mada humu entitled:Utoto Umezidi humu.
Nimepitia comments,na wengi kweli wamenitukana wakihisi kuwa nilianzisha thread ile kuwatukana.
Kwa kweli,NINAOMBA RADHI,kwani halikuwa lengo langu kumtusi wala kumdhalilisha yeyote,isipo kuwa nadhani ni ugeni humu Chit-Chat ulio pelekea mimi kupost hilo.
NAOMBENI RADHI SANA,na with time nitalielewa vyema jukwaa na kuwa member mzuri humu.
Wasalaam.
..nini tenaa..?sio matusi hayo bana.....muulize bebii wangu mtu chake atakwambia ni nini.....
We nae, acha kumsakama mwenzio, si ashasema amekosea? Samehe 7 mara 70 bana!
Hii inaitwa stressfree zone