Bourgeoisie
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 656
- 162
Je, dada zetu wanadeal vipi na hali kama hii katika mahusioano yao? Haswa tukizingatia kwamba mke au rafiki lazima anajuwa kilema cha mume au boyfriend wake. Je, wakina dada wanawaambia ukweli waume na marafiki zao ili kukabiliana na hili TATIZO?
Wakuu naona kipengele hiki kimesahaulika, mimi naona hapa kuwa harufu hizi si mbaya kwa wote kwani nimepata kusikia kutoka kwa mmojawapo akisema kuwa akimnusa mpenziwe kwapani basi anajihisi kusisimka zaidi. Haijalishi ananukia au ananuka. Kwake anaona raha tu. Lakini kwa vile pia katika jukwaa hili wapo kina dada wengi, nadhani wanaweza kuthibitisha hili.

...tukubali kukosoana.
Unaposhauriwa harufu ya mwili wako ni kero kwa wenzako, fanya jitihada kusawazisha hitilafu hiyo. Kunuka mdomo, kikwapa, na hata sehemu za siri sio sifa... ni karaha. Haijalishi wewe ni Muafrika, Mzungu au mhindi. Personal Hygiene ni muhimu.
Huenda wenyewe tunastahmiliana kutokana na ugumu wa hali za maisha, lakini harufu mbaya haimpendezi kila mmoja wetu, iwe ni Tanzania au hata huko ugenini. Jifikirie umo kwenye taxi yenye kiyoyozi halafu dereva ananuka kikwapa!
Tujitahidini jamani...
Huu mzimu wa watu watanielewaje, watanionaje ndio unaofanya maisha ya Waafrika kuwa very complex! Kama ninanuka kikwapa kwa nini mtu mwingine awe concerned! Yaani ni sawa na kusema walevi huwa wananuka pombe. Ni kitu ambacho nitakutana nacho then tutaachana wewe utaenda kwako na mimi nitaenda kwangu!
Waafrika tunasumbuliwa sana na inferiority complex! Kutaka kujiweka kwenye level fulani ya maisha hata kama hustahili! Maisha ya namna hii huishia kutuumiza na kutuharibia mwelekeo! Mwache mwenye kikwapa chake anuke na kama yuko poa na hilo who cares!

Kusema race fulani inanuka kikwapa ni ujinga wa kutokuielewa fiziolojia ya mwili wa binadamu.Nakubaliana na wadau waliosema kwamba generally wazungu inawezekana wakawa wachafu zaidi ya waafrika.Kutokana na uzoefu wangu binafsi na mademu wa kizungu,nikweli kabisa kuwa wengi ni wachafu.Wananuka midomo,nywele mpaka hivyo vikwapa.
Wengi hawaogi hata wiki nzima hasa wakati wa baridi. Kupiga mswaki, wanachukua muda mfupi sana, na huwa ni kusafisha meno ya mbele tu basi! Na hii haijalishi 'class'. Wanachofanya ni kuvaa ma make ups, na kweli wakitoka huwa 'wanawaka' kwelikweli,na ukikutana nae kitaa lazima upagawe,lakini ukimpeleka chumbani kama wewe hupendi mademu wachafu, basi hamu yote itakwisha! Sisi hapa tunawaita 'vinuka mdomo', japo wapo wengine ambao ni wasafi.
Madaktari wa ngozi(dermatologists) wanasema its physiologic kwa binadamu yeyote kutoa harufu kwenye makwapa,groins na chini ya matiti hasa wanawake.Harufu ya sehemu hizi huanza wakati wa kubalehe na inasababishwa na actions of bacteria kwenye secretion ya aina mojawapo ya sweat glands(apocrine glands) ambazo zinapatikana kwa wingi katika sehemu hizo na huwa huanza kufanya kazi baada ya kubalehe.
Naomba nitofautiane nawe ndugu yangu.... kwamba mtu abaki na kikwapa chake labda kama yuko ndani mwake na hachanganyiki na wengine. Iwapo atakuwa na wengine basi asiletee wengine kero.Halafu hili la kudhani uafrika ni sawa na uchafu inabidi tubadilike. Usafi ni kumkaribia Mungu! Mungu ametupa maji ya bure , akatupa maua na majani yenye kuweza kutumika kuondoa uchafu na harufu mbaya. Tuvitumie.
Nawashauri kwa mara nyingine tena maana niliwahi kutoa huu ushauri.KWA WENYE VIKWAPA SUGU VISIVYOSIKIA SABUNI WALA COLOGNE. SIMPLY PIKA UGALI HADI UWE NA UKOKO ULIO UNGUA. LOWEKA SUFURIA YENYE UKOKO KISHA NAWIA MAJI YAKE. UNAWEZA PIA KUTUMIA NDIMU AU LIMAO KUSUGULIA MAKWAPA. HARUFU ITAISHA!
Huu mzimu wa watu watanielewaje, watanionaje ndio unaofanya maisha ya Waafrika kuwa very complex! Kama ninanuka kikwapa kwa nini mtu mwingine awe concerned! Yaani ni sawa na kusema walevi huwa wananuka pombe. Ni kitu ambacho nitakutana nacho then tutaachana wewe utaenda kwako na mimi nitaenda kwangu!
Waafrika tunasumbuliwa sana na inferiority complex! Kutaka kujiweka kwenye level fulani ya maisha hata kama hustahili! Maisha ya namna hii huishia kutuumiza na kutuharibia mwelekeo! Mwache mwenye kikwapa chake anuke na kama yuko poa na hilo who cares!
Deodorants hufanywa na wakina dada. Lakini bila kuelezana ukweli kuhusu mapungufu yetu, je kuna uwezekano wa kubadilika kweli? Kwa sababu inawezekana wengine wanatoa harufu za kwapa, lakini wao wenyewe hawajihisi kama wananuka. Sasa bila kueleweshwa au kuambiwa ukweli na wale waliokaribu nao , je watawezaje kubadilika?
Inakera/Inadhalilisha sana unapoona mume, mke, ndugu au rafiki yako wa DHATI anazogobolewa na kuepukwa na watu ndani ya kadamnasi kutokana tatizo ambalo ni rahisi kulitatuwa.
mmhh very interesting......any scientific explaination to why/how MAJI YA UKOKO WA UGALI can be used as deodorant or perform that way??
Consider this then figure it out yourself:
"Innofresh AUTO utilizes VAT technology – a porous ventilated activated charcoal filter that absorbs even the toughest smell from cigarette smoke and odors from pets and food spills without the worry of irritating fragrances, gels and chemicals that include warning statements like "keep away from pets and children" or "may harm fabric and leather surfaces". You now have a choice – The safer choice is fragrance free activated charcoal from Innofresh. Just clip on, hang or place Innofresh auto odor eliminators anywhere in your car and trunk and start enjoying that fresh air again"
SAME PRINCIPLES APPLY!THE DIFFERENCE IS THAT ugali ukoko is locally made!
T. Mzalendo kuna baadhi ya watu wakishafikia umri fulani au kutokana na sababu za kiafya hupoteza their sense of smell au taste. Hivyi basi, mtu kama huyu anaweza akawa anawafukiza wenzake huku yeye hana habari. Ukumpa jukumu la kuchunga mboga iliyo jikoni basi melala na njaa!!! Maana hanusi hata harufu ya kuungua.Haiwezekani hata kidogo mtu utoe harufu usijue! Ni kwamba mtu anakuwa kazoea harufu mbaya yake anaona sawa tu!