Sea Beast JF-Expert Member Joined Aug 5, 2022 Posts 2,212 Reaction score 4,808 Oct 18, 2023 #581 Hatiamae namimi nimefikiwa huyu mdada kanifungukia nishaanza tiba zangu za liwamau na chumvi Leo kweli Duniani mateso matupu
Hatiamae namimi nimefikiwa huyu mdada kanifungukia nishaanza tiba zangu za liwamau na chumvi Leo kweli Duniani mateso matupu
Abby Uladu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 2,194 Reaction score 4,549 Oct 19, 2023 #582 Kuna jamaa tulikuwa tuna muita gumembuz alikunwa ananuka jasho balaa Yan mbuz pure