The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Ok asante mkuuBasi inabidi uende kwa daktari wa maswala ya ngozi mweleze kinaubaga utapata solution
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok asante mkuuBasi inabidi uende kwa daktari wa maswala ya ngozi mweleze kinaubaga utapata solution
Mbona wengine hatutoi sasa??"Huwa najiuliza wana matatizo gani??" Mbona umesha jibu mkuu?
Hapo si wanamatatizo ya kutoa harufu kwapani.
Hahaha ndio,ukute kajipaka na cream ya lemonHasa vibonge 😛😛
Toa elimu mzee toooaKunywa maji ya kutosha la sivyo uchafu wote mwilini badala ya kutoka kwenye mkojo au jasho kama utakua unafanya kazi litatokea kwapani. Hakuna namna.
Narudia tena Usafi usafi usafiUsafi !! Usafii
USAFI
Wala sio tatizo la usafi yaaani hii ni shida Kama kuna mtu Bado anateseka Basi aje PMNadhani kuna tatizo zaidi la usafi
Nina jamaa yangu yeye ata akitoka kuoga baada ya dk 5 kikwapa kinatoa harufu , kashaoga sana limao lakini bado