Kunuka miguu: Chanzo na tiba


Ndio maana inabidi tuoe, wake zetu mtusaidie kwenye hili [emoji17]
 
Mbona nyie mkivua chupi kuna harufu kwani huwa inatokea wapi
 
Jamani mimi nikitoka na wakaka wa secondary itakuwa paedophile ya kike tena. Ni wakaka wanaofanya kazi tena wengine wanaitwa baba.

Kwa hiyo ukitoka nao out wawili au watano au saba wote ukikuta soksi zao zinanuka ndiyo conc yako kama WANAUME wote tena matured wananuka miguu?
Sampling yako ni ndogo sana
Margin of error ni kubwa sana
Methodiology yako hujaiweka wazi
Chi Square au ulitumia nn?
Hitimisho:Wanaume wengi matured hatunuki miguu
Ku prove ni PM just nije uninuse miguu tu
 

Mimi toka nimekuwa na pesa nyingi nikivua viatu vinanuka sana.
 
I thinks its bacteria ambao wanasababisha hiyo harufu au hata fungus pia! But all in all ni swala la usafi tu hyo jmaaa atakuwa hajitambui tu kidg
 
Akina Mama wafundisheni watoto wenu usafi tangu wakiwa wadogo. Wajue kuoga vizuri, wafue Nguo hasa chupi, vest, soksi, leso(kwa wavulana). Gagulo ( skin tight), chupi, sidiria, na utunzaji wa pads kuoga vizuri na kusafisha maeneo nyeti .
 
Nadhani ni uchafu tu ambao hupelekea fangasi miguuni na miguu kutoa harufu au miguu yake inatoa jasho sana. Cha msingi mshauri asirudie soksi kabla ya kuifua na kuinyoosha na pasi. Na sio soksi tu hata boxer. Inashangaza sana mtu anarudia soksi au boxer.
 
Akina Mama wafundisheni watoto wenu usafi tangu wakiwa wadogo. Wajue kuoga vizuri, wafue Nguo hasa chupi, vest, soksi, leso(kwa wavulana). Gagulo ( skin tight), chupi, sidiria, na utunzaji wa pads kuoga vizuri na kusafisha maeneo nyeti .
Ninadhani ni jukumu la wazazi wote wababa pia wanatakiwa kufundisha hasa watoto wa kiume
 
Wafundishe basi na watoto wako mwanaume anapaswa kumiliki pair tano au zaid za socks bazo hufuliwa kila weekend
 
Kuna quote inasema "dirty hands are sign of clean money" nadhani na miguu ndio hivyo hivyo[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…