kununua bidhaa za electronics nairobi

kununua bidhaa za electronics nairobi

akrb

Senior Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
106
Reaction score
10
Wakuu habari zenu,naomba mwenye kujua mahala nairobi ambapo naweza pata bidhaa za electronics original kwa bei nafuu kama vile simu,external hardisk,flash,memory cards etc.ni ya biashara.
 
Kama waitaji vifaa hivyo na upo serious twawezafanya biashara 00971504374387 ni namba yangu...nipo dubai...kwa kuwa hivyo ni vitu vidogo visivyo na uzito mkubwa uwa natuma kwa posta na inachukua wiki 2 kufika tz tazama bei ya nairobi nami ntakupa ya huku ukiona wapi cheaper you can start
 
naweza kupata email yako?
 
jamani hakuna yeyote mwenye kujua???
 
Niambie unataka simu za aina gani makes zake kama specs kwa specs na gadgets za aina gani zingine tuta compare bei nitakuletea hapa hapa kwa bei ya Nairobi!
You dont have to go Nairobi
 
Nimekupa namba ya simu pia nimekupa email naona kimya...lete details zenye kueleweka...unapotaka kununua gari aina ya rav 4 unasema hivi..natafuta rav 4 model 2005,automatic,maroon colour,etc yaani unaweka details za kueleweka sasa wewe unasema unataka blackberry na nokia nashindwa kukuelewa
 
oh sorry 4 that,nime kupm
 
Back
Top Bottom