Cowman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 1,715
- 3,158
Siku nimeenda kununua condom duka la dawa hapa jirani, nikamkuta mama mmoja hivi jirani yetu, ilibidi nimwambie mhudum wahudumie kwanza hao sina haraka. Nimekaa pale dk5 yule mama hatoki duh ilibidi nijifanye naongea na sim nikatoka nje na kwenda kununua sehem nyingine. Toka siku hiyo nimejifunza nanunuaga dozen nakaa nazo ndani.