Kununua Condoms duka la mtaani kwenu ni aibu sana.

Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
1,715
Reaction score
3,158
Siku nimeenda kununua condom duka la dawa hapa jirani, nikamkuta mama mmoja hivi jirani yetu, ilibidi nimwambie mhudum wahudumie kwanza hao sina haraka. Nimekaa pale dk5 yule mama hatoki duh ilibidi nijifanye naongea na sim nikatoka nje na kwenda kununua sehem nyingine. Toka siku hiyo nimejifunza nanunuaga dozen nakaa nazo ndani.
 
08f3e097221b058a059a20735c42b059.jpg
 
Ha haaa

Mi nilishawahi kuzunguka mtaa mzima. Nafika dukani wanakuja watu wengine naamua kuomba vocha. Nilinunua vocha siku balaa...ha haa...Mwishowe nikaenda kununua kwenye guest house zilikuwa zinauzwa...
 
Wewe ulipofika pale ungempa muuza duka hela na kumuonesha mzigo wako kimya kimya kwa kidole anakupa unasepa.

Kuna mtu aliwahi kufanya hivi duka fulani hapa mjini
Hahaha, kimya kimya sio? Halafu unatoka kimya kimya watu wanageuka kukuangalia tu.
 
Ha haaa

Mi nilishawahi kuzunguka mtaa mzima. Nafika dukani wanakuja watu wengine naamua kuomba vocha. Nilinunua vocha siku balaa...ha haa...Mwishowe nikaenda kununua kwenye guest house zilikuwa zinauzwa...
Mkuu hili zoezi ni gum sana hasa ukiwa mtaani kwako, kila mtu anajua unaenda kuua. Bora kununua wembe cuz matumiz ya wembe si kunyoa vuzi tu.
 
Niliwahi kununua panadol wakati sina kazi nazo, niliyemkuta dukani ni mtu ananijua, ila sikujua kama angeweza kuwa mitaa ile maana ilikuwa mbali kweli
 
Wewe ulipofika pale ungempa muuza duka hela na kumuonesha mzigo wako kimya kimya kwa kidole anakupa unasepa.

Kuna mtu aliwahi kufanya hivi duka fulani hapa mjini
nimewahi fanya ivo jamaa ananipa mshumaa ulikuwa pembeni nikamwambia nipe ndom. akacheka sana maana alijua ntagwaya kusema maana kulikuwa na kijana flani mi simjui alibaki niangalia.
 
Siku nimeenda kununua condom duka la dawa hapa jirani, nikamkuta mama mmoja hivi jirani yetu, ilibidi nimwambie mhudum wahudumie kwanza hao sina haraka. Nimekaa pale dk5 yule mama hatoki duh ilibidi nijifanye naongea na sim nikatoka nje na kwenda kununua sehem nyingine. Toka siku hiyo nimejifunza nanunuaga dozen nakaa nazo ndani.
Mmmh
 
Kimya kimya sio vzuri unasema tu kwa sauti
Wataona aibu wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwaka jana nilikuwa nauza duka nilikuwa na mtu mwingine ambaye huwa anauza kila mara, alikuja kinaja mmoja akafika hata bila kutoa salamu, akatoa pesa fasta nakusonta mzigo akapewa kasepa.

Mimi nilikuwa busy kuperuzi JF, kuja kushtuka jamaa kashabeba mzigo kitambo anaondoka
 
nimewahi fanya ivo jamaa ananipa mshumaa ulikuwa pembeni nikamwambia nipe ndom. akacheka sana maana alijua ntagwaya kusema maana kulikuwa na kijana flani mi simjui alibaki niangalia.
[emoji23][emoji23][emoji23] muuza duka ni bongo bahati mbaya
 
Back
Top Bottom