Hahaha, kimya kimya sio? Halafu unatoka kimya kimya watu wanageuka kukuangalia tu.Wewe ulipofika pale ungempa muuza duka hela na kumuonesha mzigo wako kimya kimya kwa kidole anakupa unasepa.
Kuna mtu aliwahi kufanya hivi duka fulani hapa mjini
Mkuu hili zoezi ni gum sana hasa ukiwa mtaani kwako, kila mtu anajua unaenda kuua. Bora kununua wembe cuz matumiz ya wembe si kunyoa vuzi tu.Ha haaa
Mi nilishawahi kuzunguka mtaa mzima. Nafika dukani wanakuja watu wengine naamua kuomba vocha. Nilinunua vocha siku balaa...ha haa...Mwishowe nikaenda kununua kwenye guest house zilikuwa zinauzwa...
Kimya kimya sio vzuri unasema tu kwa sautiWewe ulipofika pale ungempa muuza duka hela na kumuonesha mzigo wako kimya kimya kwa kidole anakupa unasepa.
Kuna mtu aliwahi kufanya hivi duka fulani hapa mjini
Niliwahi kununua panadol wakati sina kazi nazo, niliyemkuta dukani ni mtu ananijua, ila sikujua kama angeweza kuwa mitaa ile maana ilikuwa mbali kweliMkuu hili zoezi ni gum sana hasa ukiwa mtaani kwako, kila mtu anajua unaenda kuua. Bora kununua wembe cuz matumiz ya wembe si kunyoa vuzi tu.
Sure mkuu unaweza kuta unanunua hata ped, ila kuna wahudum wengine ni wajanja wanazijua dalili, wakikuona tu wanakuliza unataka ile Kitu.Niliwahi kununua panadol wakati sina kazi nazo, niliyemkuta dukani ni mtu ananijua, ila sikujua kama angeweza kuwa mitaa ile maana ilikuwa mbali kweli
Usiseme kuna mtu mbona ni wewe mkuu nakukumbuka kabisaWewe ulipofika pale ungempa muuza duka hela na kumuonesha mzigo wako kimya kimya kwa kidole anakupa unasepa.
Kuna mtu aliwahi kufanya hivi duka fulani hapa mjini
nimewahi fanya ivo jamaa ananipa mshumaa ulikuwa pembeni nikamwambia nipe ndom. akacheka sana maana alijua ntagwaya kusema maana kulikuwa na kijana flani mi simjui alibaki niangalia.Wewe ulipofika pale ungempa muuza duka hela na kumuonesha mzigo wako kimya kimya kwa kidole anakupa unasepa.
Kuna mtu aliwahi kufanya hivi duka fulani hapa mjini
MmmhSiku nimeenda kununua condom duka la dawa hapa jirani, nikamkuta mama mmoja hivi jirani yetu, ilibidi nimwambie mhudum wahudumie kwanza hao sina haraka. Nimekaa pale dk5 yule mama hatoki duh ilibidi nijifanye naongea na sim nikatoka nje na kwenda kununua sehem nyingine. Toka siku hiyo nimejifunza nanunuaga dozen nakaa nazo ndani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kimya kimya sio vzuri unasema tu kwa sauti
Wataona aibu wenyewe
Anajua mkuu sema kutamka neno -Naomba Condom- tena mbele ya mama wa makamo lazima utajiskia aibu.
[emoji23][emoji23][emoji23] muuza duka ni bongo bahati mbayanimewahi fanya ivo jamaa ananipa mshumaa ulikuwa pembeni nikamwambia nipe ndom. akacheka sana maana alijua ntagwaya kusema maana kulikuwa na kijana flani mi simjui alibaki niangalia.