Kununua Condoms duka la mtaani kwenu ni aibu sana.

Ukifika mwambie nipe USALAMA wa TAIFA, huwa wanajiongeza kiana.. lakini unaweza pitisha kama utani ili kupotezea na mnajikuta mnacheka Huku unanunua
 
Acheni uzinzi oeni au tulia na mkeo mnatualibia mabinti mtaani
 
Sure mkuu unaweza kuta unanunua hata ped, ila kuna wahudum wengine ni wajanja wanazijua dalili, wakikuona tu wanakuliza unataka ile Kitu.
Hapo umenena vyema mkuu.
Mfanyabiashara mara nyingi anajua wateja wake juu ya vitu anavyoviuza
 
nimewahi fanya ivo jamaa ananipa mshumaa ulikuwa pembeni nikamwambia nipe ndom. akacheka sana maana alijua ntagwaya kusema maana kulikuwa na kijana flani mi simjui alibaki niangalia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aysee
 
Mm siku hizi nmechoka kondom,
Nikipiga kavu kamoja nakimbia fasta kuosha na maji dude!
Then nalala siangaiki na k mpaka asubuhi,
Asubuh tena kamoja cha fasta kavukavu, naenda kuosha na maji, naingia kazin, stak shulba kwenye ngono
 
Kweli ww ni mbishi, unataka kuonja ulikotokea[emoji3][emoji3]


Siyo ubishi,, kwanza huyo Mama si mama yake mzazi na kuna uwezekano mkubwa tu kuwa na yeye anataka gegedo maana wanaume wengi wa Dar hawana nguvu za kiume na wengi wamesusa wake zao. Usikute Mama wa watu kajikalia na mastress kibao hajuwi atapata wapi offer ya gegedo.
 


Nimepita duka moja ka madawa nikazikuta hizi condom kumbe bado zipo
 
mtoa mada sasa ww kama unaona aibu kusema nataka kondomu mbelE za watu sasa kupanga foleni za kuchukua ARV utaweza kweli?
 
Mm siku hizi nmechoka kondom,
Nikipiga kavu kamoja nakimbia fasta kuosha na maji dude!
Then nalala siangaiki na k mpaka asubuhi,
Asubuh tena kamoja cha fasta kavukavu, naenda kuosha na maji, naingia kazin, stak shulba kwenye ngono
[emoji16][emoji16][emoji16]mkuu ukipiga fasta ndio maradhi hayakupati
 
mtoa mada sasa ww kama unaona aibu kusema nataka kondomu mbelE za watu sasa kupanga foleni za kuchukua ARV utaweza kweli?
Hapana mkuu kule lazima aibu ikate, KIFO vs AIBU
 
Hapana mkuu mm si wa type hiyo, vigoli kibao why nitoke na mama kama mama yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…