Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaahaaaUsiseme kuna mtu mbona ni wewe mkuu nakukumbuka kabisa
Hapo umenena vyema mkuu.Sure mkuu unaweza kuta unanunua hata ped, ila kuna wahudum wengine ni wajanja wanazijua dalili, wakikuona tu wanakuliza unataka ile Kitu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimewahi fanya ivo jamaa ananipa mshumaa ulikuwa pembeni nikamwambia nipe ndom. akacheka sana maana alijua ntagwaya kusema maana kulikuwa na kijana flani mi simjui alibaki niangalia.
Sio kwako peke yako, hata mimi ni hivyo hivyo Mkuu.Anajua mkuu sema kutamka neno -Naomba Condom- tena mbele ya mama wa makamo lazima utajiskia aibu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aysee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwaka jana nilikuwa nauza duka nilikuwa na mtu mwingine ambaye huwa anauza kila mara, alikuja kinaja mmoja akafika hata bila kutoa salamu, akatoa pesa fasta nakusonta mzigo akapewa kasepa.
Mimi nilikuwa busy kuperuzi JF, kuja kushtuka jamaa kashabeba mzigo kitambo anaondoka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kweli ww ni mbishi, unataka kuonja ulikotokea[emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]mkuu ukipiga fasta ndio maradhi hayakupatiMm siku hizi nmechoka kondom,
Nikipiga kavu kamoja nakimbia fasta kuosha na maji dude!
Then nalala siangaiki na k mpaka asubuhi,
Asubuh tena kamoja cha fasta kavukavu, naenda kuosha na maji, naingia kazin, stak shulba kwenye ngono
Hapana mkuu mm si wa type hiyo, vigoli kibao why nitoke na mama kama mama yangu.Siyo ubishi,, kwanza huyo Mama si mama yake mzazi na kuna uwezekano mkubwa tu kuwa na yeye anataka gegedo maana wanaume wengi wa Dar hawana nguvu za kiume na wengi wamesusa wake zao. Usikute Mama wa watu kajikalia na mastress kibao hajuwi atapata wapi offer ya gegedo.