Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,080
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna kitu kinanipa wakati mgumu kama kwenda kununua condom, mara kibao nimerudia njianiSiku nimeenda kununua condom duka la dawa hapa jirani, nikamkuta mama mmoja hivi jirani yetu, ilibidi nimwambie mhudum wahudumie kwanza hao sina haraka. Nimekaa pale dk5 yule mama hatoki duh ilibidi nijifanye naongea na sim nikatoka nje na kwenda kununua sehem nyingine. Toka siku hiyo nimejifunza nanunuaga dozen nakaa nazo ndani.
Condom s sabuni ununue ikiisha ni kitu unanunua once umepata pa kutumia so inatokea tu umepata kazi na huwez enda kariakoo kununua mkuu
Mkuu ww ni jasiri kama Raila aisee, kuna sura nikiziona lazima nihamie duka la pili.Aisee Mimi hata nimkute nani, nanunua kwa kujiamini " tafadhari muuzaji naomba Condom pakti tatu" napewa nasepa. Huwa naona aibu kama kuna watoto cyo watu wazima
Mkuu jiamini, maana ni tendo la lazima kwa watu wazima. Hakuna atakayeshangaa zaidi ya kukuonea donge unaenda kuenjoyMkuu ww ni jasiri kama Raila aisee, kuna sura nikiziona lazima nihamie duka la pili.
Noma sanaHahah, ni ngum sana hasa ukiwa mtaa wa nyumban
Mkuu taratibu usije poteza watu hapa[emoji35]Dah hivi kuna watu wanatumia kndom aise mm siwz hata kwa ngumi
Hahah,,,,, kwamba ukinunua kondom mle ndani unaweza jishindia zawadi,,Dah...ila nazo waanze kuweka kuponi za zawadi ndani banaa[emoji41]
Hahahaaaa
Dah...ndiyo maana yake... ubahatishe angalau kitanda ....Bodaboda...etc[emoji87] [emoji41]Hahah,,,,, kwamba ukinunua kondom mle ndani unaweza jishindia zawadi,,
Ungeomba huyo Mama pengine na yeye angekuomba umuanze yeye kwanza. Watu wengine bwana, bahati mnazipoteza wenyewe, mtakua lini? Kuna mwanamke asiyetaka gegedo la bure?
Mama Debo mke wangu, usiku huu unatafuta nini huku ngoja nije nikupige viwili kwanza vya faster fasterAcha ussenge wewe, tumia akili za kawaida tu. Kuna watu wengine wa makamo huwezi kuonesha mambo yako personal mbele yao.
Niliwahi kununua panadol wakati sina kazi nazo, niliyemkuta dukani ni mtu ananijua, ila sikujua kama angeweza kuwa mitaa ile maana ilikuwa mbali kweli
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahahahaha lol! Siku hizi mpaka kuna warembo wananunua ndom na wala hawaoni aibu yoyote ile. Wanalinda afya zao na unwanted pregnancies.