Kununua Condoms duka la mtaani kwenu ni aibu sana.

Kununua Condoms duka la mtaani kwenu ni aibu sana.

Aisee Mimi hata nimkute nani, nanunua kwa kujiamini " tafadhari muuzaji naomba Condom pakti tatu" napewa nasepa. Huwa naona aibu kama kuna watoto cyo watu wazima
 
Siku nimeenda kununua condom duka la dawa hapa jirani, nikamkuta mama mmoja hivi jirani yetu, ilibidi nimwambie mhudum wahudumie kwanza hao sina haraka. Nimekaa pale dk5 yule mama hatoki duh ilibidi nijifanye naongea na sim nikatoka nje na kwenda kununua sehem nyingine. Toka siku hiyo nimejifunza nanunuaga dozen nakaa nazo ndani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna kitu kinanipa wakati mgumu kama kwenda kununua condom, mara kibao nimerudia njiani
 
Condom s sabuni ununue ikiisha ni kitu unanunua once umepata pa kutumia so inatokea tu umepata kazi na huwez enda kariakoo kununua mkuu

Poa nimekuelewa ila jitahid kuwa na stock ya kutosha kama joto linaruhus
 
Aisee Mimi hata nimkute nani, nanunua kwa kujiamini " tafadhari muuzaji naomba Condom pakti tatu" napewa nasepa. Huwa naona aibu kama kuna watoto cyo watu wazima
Mkuu ww ni jasiri kama Raila aisee, kuna sura nikiziona lazima nihamie duka la pili.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna kitu kinanipa wakati mgumu kama kwenda kununua condom, mara kibao nimerudia njiani
Hahah, ni ngum sana hasa ukiwa mtaa wa nyumban
 
Mkuu ww ni jasiri kama Raila aisee, kuna sura nikiziona lazima nihamie duka la pili.
Mkuu jiamini, maana ni tendo la lazima kwa watu wazima. Hakuna atakayeshangaa zaidi ya kukuonea donge unaenda kuenjoy
 
niliishia kununua panado wakati siumwi,
ilikua juzi hapa na pamado zileeee juu ya meza
 
08f3e097221b058a059a20735c42b059.jpg
Hahahaaaa
 
Ungeomba huyo Mama pengine na yeye angekuomba umuanze yeye kwanza. Watu wengine bwana, bahati mnazipoteza wenyewe, mtakua lini? Kuna mwanamke asiyetaka gegedo la bure?

Acha ussenge wewe, tumia akili za kawaida tu. Kuna watu wengine wa makamo huwezi kuonesha mambo yako personal mbele yao.
 
Acha ussenge wewe, tumia akili za kawaida tu. Kuna watu wengine wa makamo huwezi kuonesha mambo yako personal mbele yao.
Mama Debo mke wangu, usiku huu unatafuta nini huku ngoja nije nikupige viwili kwanza vya faster faster
 
Hahahahahahaha lol! Siku hizi mpaka kuna warembo wananunua ndom na wala hawaoni aibu yoyote ile. Wanalinda afya zao na unwanted pregnancies.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sehemu ambayo hujulikani sio shida sana mkuu kununua
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom