Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Kama Mtanzania mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali nimewaza na kuona njia mbadala ya kuwekeza kwa Dunia ya sasa ni kununua dhahabu. Hii imetokana na hizi siku chache kutokana na kuadimika kwa Dollars kitu ambacho sio ishara nzuri kwa wanauchumi.
Je wadau, kwa anayejua jinsi ya kunua dollars, maana kama mimi mgeni na inawezekanana mtu ukapigwa ukauziwa chupa au benki uwa zinaziuza ili iwe rahisi na vipi wadau ili wazo langu mnalionaje?
Naombeni ushauri.