Kama nimekuelewa sawa sawa ni kuwa hilo eneo limeshapimwa tayari, na aliyepewa hicho kiwanja ameshakiuza, so swali lako ni je, hiyo hati itakuja kwa jina la huyo aliyeiuziwa au Muuzaji?Wadau wana JF
naomba kujua watu wa kupima maeneo walipima maeneo ya watu kwa ajili ya kuwamilikisha kwa hati. ila sasa kuna Mtu anauza bado lizi hazijaja
lakini tayari ameumuuzia Mtu.
swali langu anae nunua hati inabatilika au
Hapo bado kinasoma jina la muuzaji..ndio mkuu ieleweke hivyo.