Kununua eneo ambalo limepimwa kwa jina la Mtu mwingine

Kununua eneo ambalo limepimwa kwa jina la Mtu mwingine

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,642
Wadau wana JF

naomba kujua watu wa kupima maeneo walipima maeneo ya watu kwa ajili ya kuwamilikisha kwa hati. ila sasa kuna Mtu anauza bado lizi hazijaja
lakini tayari ameumuuzia Mtu.
swali langu anae nunua hati inabatilika au
 
Kama nimekuelewa sawa sawa ni kuwa hilo eneo limeshapimwa tayari, na aliyepewa hicho kiwanja ameshakiuza, so swali lako ni je, hiyo hati itakuja kwa jina la huyo aliyeiuziwa au Muuzaji?

Niko sahihi?
 
Kama tayari kiwanja kina jina la mtu basi kinachotakiwa baada ya mauziano mmiliki mpya anatakiwa akabadilishe jina ili kiwanja kiwe kina jina lake.
 
Kama nimekuelewa sawa sawa ni kuwa hilo eneo limeshapimwa tayari, na aliyepewa hicho kiwanja ameshakiuza, so swali lako ni je, hiyo hati itakuja kwa jina la huyo aliyeiuziwa au Muuzaji?

Niko sahihi?
ndio mkuu ieleweke hivyo.
 
Kiwanja kama bado hakijapewa hati na amenunua aandike tu barua kwa afisa Ardhi anaeandaa hati aambatanishe mikataba ya mauziano atapewa hati kwa jina lake. Kama hati ipo tayari ukinunua ndio lazma uanze transfer process.
 
Back
Top Bottom