Kununua gari japani mnadani

Lakini nasikia wao wanashikilia pesa mpaka gari likufikie ndo wanafanya malipo kwa muuzaji ama
Umeuliza hapa umeambiwa unataka kupigwa huelewi,hizo bei ndogo ndio asali ya kukuvuta wakuibie,SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA
 
I like this statement!
"If you dont try, it will forever remain impossible"
Kwa Mara ya Kwanza niliagiza SIMU (xiaomi mi 8 lite) china tena kwenye website amabayo sio maarufu,
Nakumbuka nilipitia online market nyingi Sana za china, nakazikuta za kitapeli na watu washapigwa Sana tu, Ila baada ya utafiti wangu na kujiridhiasha nikafanya malipo na Mzigo ukifika na nimesha fanya nao biashara zaidi ya maramoja


Ushauri juu ya thread yako.

Moja ya vigezo vya kampuni feki kwa uchunguzi wangu Ni:-

1. Bidhaa kuuzwa Bei mdogo Sana
Wakati natafuta simu nilikuta website moja hivi unauza simu, sumsung s 9+ $200. Na ukinunua Moja unapata nyingene buree! Weeeeee! Nilishtuka nikaanaza kuwa na wasi wasi wakati ukiangalia amzoni Ni $ 500 mpaka $600.

Vivyo hivyo kwa magari.
Mfano: gari la mwaka 2003 wanauza $450, wakati website zingine ambazo zinafahamika kwa uaminifua na wanauza gari hiyo hiyo yenye sifa Kama zile wanauza $ 1020. Kuwa makini tapeli hao,

2. Promotion kibao, pamoja na kuwa na Bei mdogo halafu Wana promotion kibao,
Bei wameandika $ 450, then wanakuambia watakupa spea tairi, tool box, and free shipping, hapo kuwa makini.

3. Mode of payment, Kuna mifumo ya ulipaji wa fedha ambayo ni ngumu kumtrak( kufuatilia) mfano; westunion, ukilipa umeliap no follow-up
Ila mfumo Kama PayPal, unaweza kumfatilia na pesa yako ikarudi,

Fanya tafiti, jiridhishe, fanya malipo naamini uatafanikiwa Ila ukiona dalili za utapeli, acha usilazimishe.

Thanx.
 
It’s a
genuine company. The only problem is you loose the control. Ukiitaka gari fulani na ukaset limit baada ya auctioning watakwambia hatukufanikiwa kuna mtu kabid zaidi. Unless kwenye bidding process kuwe na margin wanayoitaka wao km faida. Alternatively bid it yourself
 
Kama hutojali naomba namba yako mkuu
 
Hapa umeongea point mzee, shukrani sana
 
real Motors ni kampuni ya ukweli usigope
 
Ukitaka kujua chchote kuhusu Japan ingia hapa www.digxam.com

 
Tradecarview siyo kampuni, ni soko au display centre.

Mule unaweza kukutana na makampuni hewa.
huwatendea haki Tradecar view(TCV) na unadanganya watu hapa wasiojua.
Hakuna mtu ameagizia gari Tradecar view akatapeliwa. Wanachokwambia wao ni kuwa wao hawamiliki hayo magari ila wao ni Intermidiate Agency kwa ajili ya kulinda usalama wa fedha zako endapo muuzaji atashindwa ku-ship gari ulilolichagua bas fedha zako wanakurejeshea na hili lina ushahidi watu kibao wamerejeshewa fedha zao pale kulipotokea sintofahamu kwa seller kutokuship gari)

Uhalisia uliopo ni kuwa sellers wa magari ndio wanawajibu wa kueleza taarifa zote za UBORA wa gari husika, na ipo platform ya kuchart na seller kuhusu ubora wa gari unalolitaka ukimuuliza maswali yote muhimu; Unalotakiwa kujua ni kuwa suala la gari ku-meet criteria ni la kwako wakati wa kununua umuulize yule seller kuanzia (1) Grade of the Car (2) Vehicle Inspection report sheet (3) Running condition of the car.
Na pia unatakiwa uweke wazi mambo yafuatayo;
Je, ulivonunua huko Japan ulikata Insuarance ya Inspection
Je, bandarin nan alikufanyia clearance maana wizi wa vifaa unaweza fanywa na ma -Agent wasio waaminifu

Si kwel kuwa hawaaminiki, wanaaminika sana na ndiomana umeagizia gari zako 2 zikawa 100% na moja ndo ikawa na shida. Ni kwasabab hukumuuliza muuzaji masuali muhimu kuhusu ubora wa gari unalonunua. Siku nyengine jifunze kuomba taarifa muhimu za ubora wa gari kutoka kwa seller uache lawama zisizokuwa na mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…