Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roughly kwa gari ya million 8 itagharimu kiasi gani?Ajiandae na gharama zifuatazo;
- ATALIPIA KODI YOOOTE KULE KULE IKIJA BONGO ANASAJILI TU.
- ATALIPIA KIBALI CHA KUSAFIRISHA GARI KUTOKA ZNZ KUJA BONGO.
- ATALIPIA GHARAMA ZA KUSAFIRISHA GARI KAMA ITALETWA NA SEA LINK.
- VILE VILE KUTAKUWA NA GHARAMA YA CLEARING AGENT BUT HII MTA NEGOTIATE,
Inaweza ikafika milioni kumi au kumi na mojaRoughly kwa gari ya million 8 itagharimu kiasi gani?
ambayo gharama hiyo kwa gari kama vtz ni bora ununue huku utapata gari nzuri kabisaInaweza ikafika milioni kumi au kumi na moja
Mimi nilinunua Lexus is 200 mpya kwa kiasi cha Tsh milioni sita tu,mpaka inafika bongo Ná kui sajili na kuanza kutumia ilifika milioni 9.5 tu.Kwakwel kwa Zanzibar utapata gari kwa being nafuu Ná itakuwa haijachezewa kama hapa Dar.Roughly kwa gari ya million 8 itagharimu kiasi gani?
Muungano wa ccmSasa maana y muungano ni nini?
Ushuru hauangalii gari umenunua kiasi gani,aina ya gari na mwaka wake na kama imetumika huko znz ndio vinavyotia picha ya kiasi utakacholipia.Roughly kwa gari ya million 8 itagharimu kiasi gani?