Zanzibar ni rahis mno kuliko watu wanasema..,Mimi nilinunua Lexus is 200 mpya kwa kiasi cha Tsh milioni sita tu,mpaka inafika bongo Ná kui sajili na kuanza kutumia ilifika milioni 9.5 tu.Kwakwel kwa Zanzibar utapata gari kwa being nafuu Ná itakuwa haijachezewa kama hapa Dar.
KWELI ZANZIBAR MAGARI BEI NAFUU LAKINI KUVUSHA TOKA ZENJI MPAKA DAR SI CHINI YA 1.5MILLION KABISAAAAAA HIYO NINA UHAKIKA. NILIENDA HUKO NILIVYOULIZA NIKAAMBIWA HIVYOHii ni nchi moja bana, huenda gharama zikawa sawa na zile za kuvusha gari pale kivukoni, buku mbili vileee!!!
taizo gari za zanzibara hata used hazijazunguka sana hazina km nyingi tofauti na za huku baraKWELI ZANZIBAR MAGARI BEI NAFUU LAKINI KUVUSHA TOKA ZENJI MPAKA DAR SI CHINI YA 1.5MILLION KABISAAAAAA HIYO NINA UHAKIKA. NILIENDA HUKO NILIVYOULIZA NIKAAMBIWA HIVYO
USHAURI WANGU NUNULIA DAR TU ILI USIPATE USUMBUFU KUNA WATU WANAUZA BEI NAFUU USIWE NA HARAKA
Mzeebaba unataka kujiupgrade kutoka kwenye Oprah WinfreyKwa million 8-9m unaweza kupata gari ya usajili DR au DS ukitulia ambayo inaweza kuwa haijatembea sana compared na usumbufu utakaoupata kusafirisha gari na bla bla zingine.
Miongoni mwa vitu ambavyo naona vinaboa ni kununua gari mill.3-5m na kulipa ushuru mill.7!
Sina neno zuri la kuelezea ila ntanunua gari mkononi 5M anyday rather than kuwafaidisha wanyonyaji wa Mamlaka ya mapato.